Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wasimuingize kwenye mtego Mzee wetu, akimaliza 10 wamuache akacheze na wajukuu. Mabeberu watapata Sababu ya kummaliza.Kwahiyo kwa wamachinga ni 10Tena!
Hahahah hao wa Kariakoo ni kawaida kufunga 30-50K deile.Kwa mujibu wa miongozo anaepaswa kupewa kitambulisho ni yule anaeuza chini ya sh 10900 kwa siku lakini Sasa hao machinga wanaoandamana Ni watu wanaouza zaidi ya 50000 mpaka laki 3 kwa siku acha waandamane Ni wajanja hao wanaandamania maslahi