Kiuhalisia kupitia hawa watu serekali inapoteza mapato sana , vile vijisehem vilivyo mbele Ya maduka kwa wamachinga ambao hawakuwahi nafasi mapema kariakoo, waliowahi nafasi wanakodisha vile visehem kwa kodi Ya laki mbili kwa mwezi , wakati wapo watu wanalipa frem laki moja hadi elfu hamisini na wanalipa kodi zote za manispaa na mapato TRA , Sasa inakuaje mtu ana uwezo Wa kulipa laki mbili kwa mwezi halipi chochote zaidi Ya elfu 20 kwa mwaka,
Kwa utaratibu huu , watu lažima waache frem ili wawe machinga tu , kwa awam Hii machinga watakua wanapiga sana pesa kuliko hata baadhi Ya watu wanaomiliki frem ,
Kiuhalisi kupitia hawa watu serekali inakosa pesa Nyingi sana , maana kuna wengine wameamua kuhamishia maduka barabarani , ukiangalia mzigo alionao machinga anazidi hadi mzigo Wa kwenye frem kwa baadhi Ya maduka .
Kwa kuandamana wapo sawa ni wajanja hawa, kwan wataka kutetea masalahi yao maana wameshasoma udhaifu Wa serekali upo wapi , serekali izinduke kupitia hawa watu inapoteza mapato sana .