Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
pole kwa uchovu mwingiSijawai kuua ntaua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole kwa uchovu mwingiSijawai kuua ntaua
Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa takribani miaka saba ni uongozi wa kiuanaharakati hivyo wanataka kuchagua viongozi kwa kukubaliana.
Matatizo mengine waliyoyataja ni pamoja na kuwa na namna rasmi ya kukopeshana ili kuweza kuongeza mitaji ya biashara.
Unyeti wake ni nini?Mkuu urais ni taasisi nyeti, kuna few chosen vessels like JPM ndio wanafaaa, kwangu mimi kazi yangu inanitosha, urais tumwachieni JPM.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Inawezekana wamefanya biashara nzuri wakati wenye maduka wameteseka.Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa takribani miaka saba ni uongozi wa kiuanaharakati hivyo wanataka kuchagua viongozi kwa kukubaliana.
Matatizo mengine waliyoyataja ni pamoja na kuwa na namna rasmi ya kukopeshana ili kuweza kuongeza mitaji ya biashara.
Mbona hawajammaliza M7 mpaka Leo anawatesa waganda?Wasimuingize kwenye mtego Mzee wetu, akimaliza 10 wamuache akacheze na wajukuu. Mabeberu watapata Sababu ya kummaliza.
Karikoo kama kitovu cha biashara Dar ni kero. Unapitaje ukanunue bidhaa dukani! Unapakije gari pembeni ya duka ubebe vitu vyako.Serikali inataka kupanua wigo wa vyanzo vya mapato, Ili mapato yaongezeke ni lazima wamachinga watolewe barabarani wakalipie leseni, Kodi ya mapato na kodi nyingine zilizopo. Hawa hawana cha kujitetea nacho zaidi ya kuandamana ili Magufuli abaki madarakani?
Halmashauri zitakapoanza kazi ya kuwaondoa hawa machinga barabarani wala Magufuli hataongea lolote kwa sababu mpango wa serikali ni kuongeza wigo wa makusanyo ya fedha. Kama hawaongezi huo wigo wa kuongeza mapato. Hii miradi lukuki aliyoianzisha Magufuli kwa fedha za ndani anaimaliziaje?
Daah kumbe kumi ni Michache sasa wanazungumzia kutanua goli tuu muda wote na hilo linawezekana kwa jinsi ya avyotengenezwa mazingira kuanzia bungeni kila mahara...
M7 na Kagame ni vibaraka wao.Usishangae wao ndio wakatumika.Sisi waafrika kama waarabu kuuzana mchana kweupe.Mbona hawajammaliza M7 mpaka Leo anawatesa waganda?
Wamachinga wa Dar wamesema wanamshukuru Rais Magufuli kwa kuwajali na kutengeneza mazingira bora ya kufanya kazi.
Wamesema hakuna Rais aliyefanyia wema kama Rais Magufuli hivyo wako tayari kuandamana ili Rais Magufuli abaki madarakani.
Aidha wamachinga wamesema uongozi waliokuwa nao kwa takribani miaka saba ni uongozi wa kiuanaharakati hivyo wanataka kuchagua viongozi kwa kukubaliana.
Matatizo mengine waliyoyataja ni pamoja na kuwa na namna rasmi ya kukopeshana ili kuweza kuongeza mitaji ya biashara.
Ya kuuunga juhudi ruksaMaandamano hayaruhusiwi, watapigwa mpaka wachakae.