Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 Rais aendelee kubaki madarakani

Wamachinga: Tuko tayari kuandamana 2025 Rais aendelee kubaki madarakani

Imefikia hatua vijana tuliobaki na akili timamu tujipange, hawa kenge wakipita barabarani watandikwe mpaka washangae.

Kama mbwai na iwe mbwai, huu mkakati wa kuikabidhi nchi yetu tukufu kwa kinchi kama Rwanda hautafanikiwa.

Umeshachelewa mkuu!
 
Dkt Magufuli alishasema hatoongeza muda, hivi wanaosema aongeze muda wanafikiri wanamfurahisha nani? Nadhani misingi aliyoijenga Dkt. Magufuli ni muhimu tujiandae namna ya kuilinda na kuiendeleza.

Ndugai kawatukana huko na kuhoji makofi yenu ni ya nini? Akisema haongezi unashangilia, akisema ataongeza utakenua tena!
 
Kwa huruma yetu kwake bora asiongeze afute makosa alotenda na sio kuongeza mengine yataja MPA tabu mbinguni
 
Mbona kila siku mnaandamana?
Maisha yenu yote ni kuzunguka tuu hayo ni maandamano pia
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ulimwengu umewanyoosha Tanzania Ina misingi yake' na kanuni zake

Ukizivunja hizo hauwezi kubaki salama
 
siku zenu zinahesabika ........miji iwe misafi....muende kwenye maeneo husika tuu...sio kila kauchochoro genge...kila kona genge duuh..
 
siku zenu zinahesabika ........miji iwe misafi....muende kwenye maeneo husika tuu...sio kila kauchochoro genge...kila kona genge duuh..
 
Back
Top Bottom