Wamachinga waliozagaa pembezoni mwa barabara na sehemu zisizo rasmi katika miji mikubwa Tanzania waondolewe?


ushirika na patnership haikwepeki hapo patahitajika uwazi , kujituma na
Mfumo bora wa utendaji utaolenga haki ya majukumu na mgao kudhibiti ubinafsi , kudhulimiana
 
Hawawezi kuondolewa, uvunjaji huo wa sheria za jiji unanunuliwa kwa shilingi elfu ishirini (20,000/=), na wewe ukitaka kanunue kitambulisho shs20,000/=, karibu ila usidai risiti wala usiulize zinakwenda wapi.
 
Wamachinga wameharibu taswira ya kariakoo . Kariakoo pamekuwa pahovyo halafu pachafu mno
 
kwanini serikali isiwatafutie sehemu maalum za kufanyia kazi na sio pembeni ya barabara.
 
Sera mbovu za ccm ndio zimezalisha machinga ( mawakala wa kuinua viwanda na uchumi wa china ) badala ya kuzalisha wazalishaji ( kutumia fursa za raslimali zilizopo)
 
Hata sokoni kwa baadhi ya maeneo, sehemu ya wapita njia sokoni ndani ndani kuna bidhaa zinatundikwa chini yaani kupishana na watu ni kazi kweli kweli!
Vipi huna wazo mbadala nn kifanyike ili pande zote zisiumie Bali zifaidike
 
Vipi swala la kuunganisha mtaji kwa wale wenye Biashara zinazofanana vipi hili haliwez kuwa mbadala kuliko kukuta watu 20 wamejipanga barabara I unawagswa mafungu manne unawaunganisha mtaji unawapa physical permanent location kwakumpa au kununua kikundi kimoja alafu unadevelop mtaji kwa kushirikiana na halmashauri au benk pili unawadevelop kibiashara kwa kuangalia fursa zaid ya kile walichokuwa wanafanya vip hii haiwez kuwa solution
 
Wakuu wa mikao wanafahamu, ila maagizo bado hayajatolewa kutoka juu...




Cc: mahondaw
 
Ole wake atakaewagusa wapiga kura wangu.inhiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Mtupigie picha mtuletee huku tuone je wamefanikiwa kusimamia hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…