Steelomega
Senior Member
- Aug 22, 2020
- 125
- 144
Ule mwendo wa viwanda ungeenda sambamba na kuunganishwa kwa mitaji kwa wajasiriamali wadogo wadogo mfano kuliko kwenda kariakoo wakanunue mzigo kwa wholesaler n Bora wanajichanga hao kadhaa na wanaagiza kwa mzalishaji sababu mzigo utakuwa mkubwa lazima wawe na sehemu ya uhakika ya kufanyia Biashara na kuhifadhi mzigo
ushirika na patnership haikwepeki hapo patahitajika uwazi , kujituma na
Mfumo bora wa utendaji utaolenga haki ya majukumu na mgao kudhibiti ubinafsi , kudhulimiana