Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi jamani Kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi jamani Kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Ohoooo!!!izo juisi na matumbo ya kuhara sawa na Lissu na Ubelgiji
Hamna cha customer care, hapo ni ulaghai mtupu. Hadi omba omba nao wanatumia "gia" hii kupata chao.Acha roho ya kwanini mkuu, hiyo mi customer care
Huo unaitwa mtitiHapo hapo karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki na tafuta kazi maofisini...jua limenipiga nina njaa c akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu yeye amenikumbuka mimi nimemsahau.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea tandika lilitokea battle sio ya dunia hii amechana shati mimi nimemwaga juice na keki
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hapo hapo karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki na tafuta kazi maofisini...jua limenipiga nina njaa c akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu yeye amenikumbuka mimi nimemsahau.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea tandika lilitokea battle sio ya dunia hii amechana shati mimi nimemwaga juice na keki
🤣🤣🤣🤣Hapo hapo karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki na tafuta kazi maofisini...jua limenipiga nina njaa c akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu yeye amenikumbuka mimi nimemsahau.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea tandika lilitokea battle sio ya dunia hii amechana shati mimi nimemwaga juice na keki
Huo siyo ukarimu bali ni uzuzu wa kupindukia. Unakutana na mtu humjui anakuchangamkia na kukumiminia juisi na wewe huulizi chochote unaanza kupiga mafunda? Njaa kali? Hata kama njaa kali lakini ni uzuzu wa hali ya juu. Kumbe ndiyo maana watu wanaotapeliwa hawaishi.Sisi wabongo ni wakarimu hadi tunakuwaga ma zuzu sometimes.
Ivi unashindwaje hata kuuliza bro unanijua?
Unapimiwa tu nakuanza kunywa comeeen..
Mzee kumbe unamjua huyu mshikaji [emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787].Siku hizi yupo pale mwanzoni ukiwa unatoka karume kuelekea Kkoo kabla hujapanda kibaraza cha breweries(Pale ambapo huwa kuna mnada wa nguo).Kuna mmoja alikuwepo pale langobla kiwanda cha bia cha Kilimanjaro anavaaga kapero [emoji16]