Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Nakumbuka wakat wa kampeni za uchaguz mkuu wa 2015 siku ya mwisho ya kufunga kampeni pale jangwani wakati huo EDWARD LOWASA NDIO MGOMBEA WA CHADEMA

alitokea bubu mmoja akatugawia karanga watu wote wa eneo langu baadae akaanza kudai hela kwa kila mmoja Tena kwa nguvu ila tulifanikiwa kumdhibiti na kichapo akapewa

Mjini hakuna Cha bure

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bubu alichezea Kichapo
 
Inaelekea huyo jamaa wa kapero Breweries ni maarufu na watu washajua mchezo wake.
Anachokifanya ni utapeli na ulaghai. Kuna haja achukuliwe hatua.
 
Kweli hata mimi Alisha nidaka na Salaam nyingi za bashasha. Bahati mbaya au nzuri nilisha jiwekea sheria ya kutokunywa juice za barabarani. Ila mimi sikumshitukia niliondoka nikijua kuwa mimi nime sahau tu, lazima tumekutana naye au tulikuwa naye sehemu. Kumbe ni tapeli wa kiaina.
Mm ni mara kibao na wako wawili ktk panda zote za barabara huwa wananichangamkiaga sana kumbe ndio michongo yao.
Yaani kama wananijua ktk kuchangamkia kwao.
Asante sana japokuwa silagi vitu barabarani
 
Jamaa wameiga kwa wale wachekeshaji wa Mizengwe 😄
Jamaa kaingia tu mjini wakamuibia
Akaanza kuuza karanga huku anajifanya bubu
Jichanganye ule sasa
 
Back
Top Bottom