Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mjini pagumu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
Sasa kwa Nini hukumuuliza hujamkumbuka?Kweli hata mimi Alisha nidaka na Salaam nyingi za bashasha. Bahati mbaya au nzuri nilisha jiwekea sheria ya kutokunywa juice za barabarani. Ila mimi sikumshitukia niliondoka nikijua kuwa mimi nime sahau tu, lazima tumekutana naye au tulikuwa naye sehemu. Kumbe ni tapeli wa kiaina.
Hiki kisa chako ndio kimeniacha hoi kuliko vyote..Yalinikuta siku moja,
Kuna mshikaji tuko nae Job, mdogo wake alikua anakujaga siku moja moja pale Job, sikua nimemkariri sana sura sababu aeza kuja labda mara moja Kwa mwaka.
Basi bana siku moja nikapita hapo karume kutafuta viatu vya madogo nikaitwa, oya broo, kugeuka nikakutana na mshikaji akaanza hizo salamu zao Kwa furaha kabisa. Basi kijuu juu nkajua ndo yule jamaa ambae kaka yake tuko nae job. Za masiku, mbona huji tena pale Kwa bro wako, kitambo no see, etc.
Nikamuuliza kwani toka kipindi kile anakuja pale job alikua anapiga hizi mishe za juice? Maana bro wake alisema yuko Chuo, akajibu mishe kaanza juzi kati sababu kamaliza chuo kazi hakuna. Nkasema sababu kaka yake yuko poa tu ngoja nimpoze dogo hata na chenji, nkampa 5,000/- chenji abaki nayo.
Hiyo siku ilikua weekend, so Monday nkaenda Job nkamuuliza mshikaji dogo vipi, akasema dogo hayuko tena Dar, alipataga kazi Arusha. Nkamsimulia kuhusu mkasa was jana yake pale karume, akasema sio kweli na akampigia dogo WhatsApp video kweli hakua Yeye na dogo kweli alikua ofisin nkajua nishapigwa hapa.
After a month nkaenda tena maeneo yale sikumuona yule jamaa.
Ahaaa eti keshapewa glass[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
Upo sahihi kabisa mkuu, yalimkuta mdogo wngu wakamlipisha buku 2 kwa glas ya juicecolaHivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi? Kitambo sana we jamaa upo?
Huku ananipimia juice ananiambia karibu sana mwanangu, nikiwa Sina hili na lile nikanywa Funda la kwanza, la pili mpaka la tatu huku navuta kumbukumbu huyu jamaa ni wapi Songea au Azania nilisoma nae? Nikawa sipati majibu. Jamaa akawa ameshawadaka wengine kwa mtindo huo huo. Nimekunywa imebaki robo glass namrudishia glass akaniambia buku tu. Ndio akili ikarudi nikajua kumbe hawa jamaa ndio ishu yao kufosi?
Nikamwambia nina jero akawa ananikomalia nikamwambia sikuuliza bei na wewe ukawa umeshanikaribisha . Chukua hii jero. Kuna mtu wa hapa Dar au aliyewahi kupita maeneo yale ikamtokea hii ishu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Iliwahi kunitokea maeneo ya hapo ilala kwa mkuu wa mkoa, yule jamaa alinichangamkia as if tunajuana ,akanipa juice..nikanywa nlivyomaliza akanambia bei 1000, nikamwambia nina 500 tu.Hivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi? Kitambo sana we jamaa upo?
Huku ananipimia juice ananiambia karibu sana mwanangu, nikiwa Sina hili na lile nikanywa Funda la kwanza, la pili mpaka la tatu huku navuta kumbukumbu huyu jamaa ni wapi Songea au Azania nilisoma nae? Nikawa sipati majibu. Jamaa akawa ameshawadaka wengine kwa mtindo huo huo. Nimekunywa imebaki robo glass namrudishia glass akaniambia buku tu. Ndio akili ikarudi nikajua kumbe hawa jamaa ndio ishu yao kufosi?
Nikamwambia nina jero akawa ananikomalia nikamwambia sikuuliza bei na wewe ukawa umeshanikaribisha . Chukua hii jero. Kuna mtu wa hapa Dar au aliyewahi kupita maeneo yale ikamtokea hii ishu?? 😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo hapo Karume 2012 walishawahi kunifanyia kama wewe nimechoka nimechakaa na bahasha yangu ya khaki natafuta kazi maofisini... jua limenipiga nina njaa si akajifanya kunijua full kunichangamkia nikajisemea kimoyoni itakuwa rafiki yangu wa utotoni huyu yeye amenikumbuka mimi nimemsahau.
Nimekunywa nimemaliza akaniambia toa 700 wakati huo sina nauli nimetoka posta kwa miguu naelekea Tandika lilitokea battle sio ya dunia hii, amechana shati mimi nimemwaga juice na keki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwana huwa anavaa cap mara nyingi nyeupe yupo karibu na geti la kwanza kuingia tbl napita nikaona wana wanakunywa juice nikauliza bei akasema 500 nikanywa ikaisha baadae anasema nimlipe buku eti nimekula na cake dah na alikaza kweli nikamlipa kwa unyonge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka Sana. Kuna siku natoka zangu k.koo naelekea Karume, nipo na mshua. Kufika maeneo ya breweries, karibia na getini, Kuna jamaa akamuita mshua, kwa style kama yako. Nakuja kugeuka nyuma, nashangaa mshua kasimama anaongea na jamaa. Jamaa anamuuliza habari ya siku nyingi mzee? Kitambo Sana sikuoni, vipi ishu zako bado ni zile zile? Hapo mshua ashapokea juice anakunywa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Ikabidi nikalipia ile juice alaf nikamwambia mshua tuamshe, maana mm nawajua nishawazoea. Tumefika mbele, namuuliza mshua kama anamfahamu yule jamaa, father ananiambia "Sura yake sio ngeni, sijui hata nilimuona wapi maana navuta kumbukumbu haziji* [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Nikacheka Sana hadi mshua akaniuliza kama namjua yule jamaa. Nilivyomuelezea alicheka Sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu unakitafuta endelea kula vya watu burebure ukijifanya ulisoma nao songea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yalinikuta siku moja,
Kuna mshikaji tuko nae Job, mdogo wake alikua anakujaga siku moja moja pale Job, sikua nimemkariri sana sura sababu aeza kuja labda mara moja Kwa mwaka.
Basi bana siku moja nikapita hapo karume kutafuta viatu vya madogo nikaitwa, oya broo, kugeuka nikakutana na mshikaji akaanza hizo salamu zao Kwa furaha kabisa. Basi kijuu juu nkajua ndo yule jamaa ambae kaka yake tuko nae job. Za masiku, mbona huji tena pale Kwa bro wako, kitambo no see, etc.
Nikamuuliza kwani toka kipindi kile anakuja pale job alikua anapiga hizi mishe za juice? Maana bro wake alisema yuko Chuo, akajibu mishe kaanza juzi kati sababu kamaliza chuo kazi hakuna. Nkasema sababu kaka yake yuko poa tu ngoja nimpoze dogo hata na chenji, nkampa 5,000/- chenji abaki nayo.
Hiyo siku ilikua weekend, so Monday nkaenda Job nkamuuliza mshikaji dogo vipi, akasema dogo hayuko tena Dar, alipataga kazi Arusha. Nkamsimulia kuhusu mkasa was jana yake pale karume, akasema sio kweli na akampigia dogo WhatsApp video kweli hakua Yeye na dogo kweli alikua ofisin nkajua nishapigwa hapa.
After a month nkaenda tena maeneo yale sikumuona yule jamaa.
Wanajikuta wakishua.......load ila sikuWatu wanakunywa na hawapati hayo magojwa.
Ingekua wanaokula na kunywa mtaani wanaugua basi hospitali zingekua zimejaa watu.