Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

Kweli hata mimi Alisha nidaka na Salaam nyingi za bashasha. Bahati mbaya au nzuri nilisha jiwekea sheria ya kutokunywa juice za barabarani. Ila mimi sikumshitukia niliondoka nikijua kuwa mimi nime sahau tu, lazima tumekutana naye au tulikuwa naye sehemu. Kumbe ni tapeli wa kiaina.
 
Huo unaitwa mtiti
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
🤣🤣🤣🤣
 
Sisi wabongo ni wakarimu hadi tunakuwaga ma zuzu sometimes.
Ivi unashindwaje hata kuuliza bro unanijua?
Unapimiwa tu nakuanza kunywa comeeen..
 
Wewe nawe ni nanga kweli kweli. Utakuja kunyweshwa madawa ufanyiwe kitu mbaya sana.
 
Nakumbuka wakat wa kampeni za uchaguz mkuu wa 2015 siku ya mwisho ya kufunga kampeni pale jangwani wakati huo EDWARD LOWASA NDIO MGOMBEA WA CHADEMA

alitokea bubu mmoja akatugawia karanga watu wote wa eneo langu baadae akaanza kudai hela kwa kila mmoja Tena kwa nguvu ila tulifanikiwa kumdhibiti na kichapo akapewa

Mjini hakuna Cha bure

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sisi wabongo ni wakarimu hadi tunakuwaga ma zuzu sometimes.
Ivi unashindwaje hata kuuliza bro unanijua?
Unapimiwa tu nakuanza kunywa comeeen..
Huo siyo ukarimu bali ni uzuzu wa kupindukia. Unakutana na mtu humjui anakuchangamkia na kukumiminia juisi na wewe huulizi chochote unaanza kupiga mafunda? Njaa kali? Hata kama njaa kali lakini ni uzuzu wa hali ya juu. Kumbe ndiyo maana watu wanaotapeliwa hawaishi.
 
Kuna mmoja alikuwepo pale langobla kiwanda cha bia cha Kilimanjaro anavaaga kapero [emoji16]
Mzee kumbe unamjua huyu mshikaji [emoji1787][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787].Siku hizi yupo pale mwanzoni ukiwa unatoka karume kuelekea Kkoo kabla hujapanda kibaraza cha breweries(Pale ambapo huwa kuna mnada wa nguo).
Jamaa ndio michezo yake.Charming sana,mtu wa story sana.Ila ukimaliza kunywa juice anakuwa serious na hela yake .
Watu kibao kashawafanyia huu mchezo.Mimi mwnyw nilishawahi kunasa huo mtego,ila namsikilizia sasa hivi ajichanganye tena aone balaa lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…