Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

haahhahaha nimevunjika mbavu mbele za watu kwenye usafiri wa uma, we mtoa mada ni mjinga sana..
 
Mkija kushtuka mshapigwa[emoji16][emoji16].
Kununua kitu kwa lazma uwa inaumaa
 
Sasa kwa Nini hukumuuliza hujamkumbuka?
 
Hiki kisa chako ndio kimeniacha hoi kuliko vyote..
 
Moja wapo ya field za vijana wa mbweni ni hizo .."how to win the confidence of a person"
1.mtu kupigwa sound ya namna hiyo had unaingia line..
2. Mtu unatoka bank/ATM kufika nJE unakutana na mtu anakupiga sound ya kuuguliwa had unamwachia buku ten au Zaid... Nk nk ...
 
Mimi hapa... Ila nilicheka style Yao... Mimi jua lilikuwa limenichoma mpaka naona kma nazimia... Ghfla naona napewa juice ya muwa katikati ya watu... Nikaikata pap... Maana kma jamaa alikuwa anajua nime exhaust haswa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ahaaa eti keshapewa glass
 
Upo sahihi kabisa mkuu, yalimkuta mdogo wngu wakamlipisha buku 2 kwa glas ya juicecola

Mwanzoni wanakuchangamkia kama watu wa kutoka kijiji kimoja, then hujakaa vizuri mara wamekupimia na kukuuliza bimkubwa hajambo we jamaa kitambo?..... ukishapiga tu tama ya kwanza wanauweka wa mbuzi na kujifanya hawakujui utafiti wangu unaonyesha wapo wanaolipishwa hadi buku 5 kwa glas
 
Iliwahi kunitokea maeneo ya hapo ilala kwa mkuu wa mkoa, yule jamaa alinichangamkia as if tunajuana ,akanipa juice..nikanywa nlivyomaliza akanambia bei 1000, nikamwambia nina 500 tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu wanakunywa na hawapati hayo magojwa.

Ingekua wanaokula na kunywa mtaani wanaugua basi hospitali zingekua zimejaa watu.
Wanajikuta wakishua.......load ila siku
tunakunywa juice za miwa ,parachichi nk na hatupati hayo matumbo
 
Halafu kutwa mnadai huku mikoani kuna watu washamba.

Kumbe huko Dar napo kuna washamba, unawezaje kunyweshwa juisi na mtu usimjua.

Au ni njaa?
 
Nilichojifunza hapo ni ' Customer service' namna ya kumvutia mteja ambae hakuwa wako na ukaweza kumchangamkia na kumfanya apate huduma ya bidhaa yako.

Bonge la akili hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…