Wamachinga wauza Juice Karume Ilala

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bubu alichezea Kichapo
 
Inaelekea huyo jamaa wa kapero Breweries ni maarufu na watu washajua mchezo wake.
Anachokifanya ni utapeli na ulaghai. Kuna haja achukuliwe hatua.
 
Mm ni mara kibao na wako wawili ktk panda zote za barabara huwa wananichangamkiaga sana kumbe ndio michongo yao.
Yaani kama wananijua ktk kuchangamkia kwao.
Asante sana japokuwa silagi vitu barabarani
 
Jamaa wameiga kwa wale wachekeshaji wa Mizengwe 😄
Jamaa kaingia tu mjini wakamuibia
Akaanza kuuza karanga huku anajifanya bubu
Jichanganye ule sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…