Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J
Sasa huyu J alikuwa anakaa na baba yake mkubwa mbagala hapo kaka mda mrefu mpaka kafika form two mama ake ndio anaaza kusema nataka mtoto nikae nae mwenyewe kule mtoto ananl nyanyasika wanamtuma sana wakat watoto wai pia wapo
Mm nikamuuliza maswali madogo tu kule anako kaa si ndio kwao? Kwhy ata kama wanamnyanya wanamnyanya damu yao yule kabeba jina lao la ukoo sio la kwetu af pia mtoto kukonda ni kutokana na ukuaji muache mtoto asome amalize
Hakusikia akamlagai mama yule mtoto wakamwamisha shule toka dar kwenda mkoani kule alikokuwa anasoma mwanzo alikua anafanya vzr ila tangu ameenda kwa bibi yake jaman anafanya vibaya na mama angu yupo bise sana hana mda wakumfwatilia mtoto kabisa
Sasa juzi anasema yule J ananyanyaswa yaani mama ana mnyanyasa mtoto kisa hana baba chanzo ilikuwa ni kumwambia kuwa kama husomi matokeo yakiendelea hivi hivi unarudi kwenu kule sitaki upumbav mtoto kamwambia mama yake mama yake kaja juu mwanangu mnanyanyasa
Mimi nikatoa kauli hii moja tu huyo mtoto arudi akakae alikokuwa anakaa mwanzo au akakae na mama yake mwenyewe kelel zipungue kabisa
Mtu anasaidiwa lakini hasaidiki wanawake mnalea watoto vibaya