Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
roho ya ubinafsi tuTabu ya mashemeji hao,ni kuhisi hela yao itamegwa kwa kuliwa na huyo mjane, ni hisia mbaya sana,wangekuwa wanaweka tu ada kwenye accounti za shule husika,na za matumizi ya ndani ziwe na utaratibu maalumu,au wamfungulie biashara.