Wamama badirikeni kidogo

Wamama badirikeni kidogo

si ndio nimeshangaa, kuna single maza mmoja anakomaa na watoto wake watatu, japo yeye ni wale wanaume wanaotelekeza familia, dada wa watu kakomaa
Sikuiz wapo wachache hao
 
Simlaumu dada,hormones ndio shida hapo,pia msimba haujatoka kichwani ndio maana kila anachoona kwake kibaya.
1: anahitaji kupata kijana/mwanaume.
2: watoto wapo mbali Kwa mama yyt hili ni ttz kwao wanapenda sn kuona watoto wapo pamoja sema hawezi ndio kinachomvuruga akili.
3: km atapata mwanassikolojia itamsaidia sana kumuweka sawa
Mimi nimeongea nae sana
 
Ipo hivi nina dada yangu ambaye ni mjane mumewe alikufaga 2010 akamuachia watoto wawili wadogo sasa hawa watoto kwao waligawana kumsaidia mama kulea watoto mmoja alimchukua shemeji yake mdogo mwingine akachukuliwa na shemeji yake mkubwa huyu mmoja anaitwa E ndio mkubwa na wa pili J

Sasa huyu J alikuwa anakaa na baba yake mkubwa mbagala hapo kaka mda mrefu mpaka kafika form two mama ake ndio anaaza kusema nataka mtoto nikae nae mwenyewe kule mtoto ananl nyanyasika wanamtuma sana wakat watoto wai pia wapo

Mm nikamuuliza maswali madogo tu kule anako kaa si ndio kwao? Kwhy ata kama wanamnyanya wanamnyanya damu yao yule kabeba jina lao la ukoo sio la kwetu af pia mtoto kukonda ni kutokana na ukuaji muache mtoto asome amalize

Hakusikia akamlagai mama yule mtoto wakamwamisha shule toka dar kwenda mkoani kule alikokuwa anasoma mwanzo alikua anafanya vzr ila tangu ameenda kwa bibi yake jaman anafanya vibaya na mama angu yupo bise sana hana mda wakumfwatilia mtoto kabisa

Sasa juzi anasema yule J ananyanyaswa yaani mama ana mnyanyasa mtoto kisa hana baba chanzo ilikuwa ni kumwambia kuwa kama husomi matokeo yakiendelea hivi hivi unarudi kwenu kule sitaki upumbav mtoto kamwambia mama yake mama yake kaja juu mwanangu mnanyanyasa

Mimi nikatoa kauli hii moja tu huyo mtoto arudi akakae alikokuwa anakaa mwanzo au akakae na mama yake mwenyewe kelel zipungue kabisa

Mtu anasaidiwa lakini hasaidiki wanawake mnalea watoto vibaya
Aliyeelewa anielezee kwa kifupi tafadhali
 
Akina mama akili zao wanazijua wenyewe mkuu. Mungu awasaidie.
 
kwenye mimba hamnaga kitu kinaitwa bahati mbaya
 
Back
Top Bottom