Sasa anataka wakaeje kwa watu? Wasifajye kazi? Mpumbavu huyo! Dada lako litakuwa li malaya! Siku hizi nimemwelewa.my wife mke wangu, hataki tena kukaa na mtoto wa mtu kama wazazi wapo!Tisa yote hataki kukaa na wanawe
Nimeshangaaa kugawana watoto wa mtu akiwa haiMama aachiwe watoto wake awalee mwenyewe, wakifeli mzigo utakuwa wake mwenyewe, ilitakiwa wamsapot matumizi tu, watoto wawili ndio wakugawa huyu akae kule na huyu akae huku, halafu mama yao awe anafanya nini?
wasema mama anapenda bilinganya, ndo maana alikubali kuwagawa watoto ambao huruNimeshangaaa kugawana watoto wa mtu akiwa hai
Mama anaongeza mtoto mwingine akitegemea pesa za mashemeji zakesawa alitakiwa akae na watoto wake, ili hao baba mkubwa na baba mdogo wasupport elimu ya hao machalii huku wakiwa kwa mama yao
Kweli toto likilelewa na Mama pamoja na Bibi linakua jinga jizi hata kufua nguo ni shidaHapana tafuta hakuna mtoto wa Baba alie na akili za kizombi, mitoto yenye akili za kizombi mingi imelelewa na mama au bibi upande wa mama
ataongeza na nani na mume alishafariki, akiongeza huyo wa kwakeMama anaongeza mtoto mwingine akitegemea pesa za mashemeji zake
Sasa anataka hao watoto wakae wapi,kama hata kwa ndugu kawatoa!?Tisa yote hataki kukaa na wanawe