Wamama badirikeni kidogo

Wamama badirikeni kidogo

Tisa yote hataki kukaa na wanawe
Sasa anataka wakaeje kwa watu? Wasifajye kazi? Mpumbavu huyo! Dada lako litakuwa li malaya! Siku hizi nimemwelewa.my wife mke wangu, hataki tena kukaa na mtoto wa mtu kama wazazi wapo!
 
Mama aachiwe watoto wake awalee mwenyewe, wakifeli mzigo utakuwa wake mwenyewe, ilitakiwa wamsapot matumizi tu, watoto wawili ndio wakugawa huyu akae kule na huyu akae huku, halafu mama yao awe anafanya nini?
Nimeshangaaa kugawana watoto wa mtu akiwa hai
 
sawa alitakiwa akae na watoto wake, ili hao baba mkubwa na baba mdogo wasupport elimu ya hao machalii huku wakiwa kwa mama yao
Mama anaongeza mtoto mwingine akitegemea pesa za mashemeji zake
 
Hapana tafuta hakuna mtoto wa Baba alie na akili za kizombi, mitoto yenye akili za kizombi mingi imelelewa na mama au bibi upande wa mama
Kweli toto likilelewa na Mama pamoja na Bibi linakua jinga jizi hata kufua nguo ni shida
 
Back
Top Bottom