Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Kuna mtu aliuliza swali hili hapa kwenye mtandao wa "X". Nasikitika majibu ya jinsia ya kike ni kana kwamba hawajitambui kabisa! Sasa nawaambia acha kuendelea kuvuna laana! Wababa hatutaki kujionyesha! Kipato kinachoendesha familia hata kama mama ajimwambafai kuwa ni yeye, nguvu ya hicho kipato na kila kitu kinatoka kwa baba! Labda kama baba hayupo!