Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Ila hizi ni tabia za manyani, kweli dereva aje agonge basi hivi hivi tu makusudi bila sababu kwani yeye haogopi kufa? Kuna kufeli breki, kuna kukwepa mashimo na wanyama na sababu zingine nyingi sana
 
Kama Mimi ndo tajiri wa lori ningekufukuzia huko huko barabara Kama ni chako ningekutumia kwenye simu huko huko. Mshenzi Sana dereva wa lori bifu lake na dereva wa bus linahusu vipi abiria na mmiliki wa Basi kumpa hasara.
 
Hapo dereva wa loli sio bure mpaka kumfanyia ivyo,madereva wa mabasi wengi wao wanafujo sana wawapo barabarani
 
Hapo dereva wa loli sio bure mpaka kumfanyia ivyo,madereva wa mabasi wengi wao wanafujo sana wawapo barabarani
sasa hapa kosa aanalibeba yeye maana alilofanyiwa huko nyma kaja kulilipa hapa hawezi kulitumia polisi kuhalalisha uovu wake na mbaya zaidi mwenzie amebeba abiria
 
Kuliwekwa mahakama siwez jua yupi mwenye kosa sipaswi kushuhudia chochote ila nachojua derevaz wa basis wako rafu sana na haka kamama mwandish wa habar wa kujitegemea kanafoka sana mpaka kero "muue" hapo ukute kalikaa siti ya nyuma haelew hata tukio limeanzaje.Umrushe wapi angalia wasije wakakurusha wewe[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Samahani jaribu kurudia kusoma ulichoandika halafu utuelezee kama umeelewa ulichoandika
 
Mbona kwenye hiyo videochaionyeshi kilichotokea, naona kipigo tu
huyo mwenye lori amemchomekea mwenye basi hadi akatoka nje ya barabara, ukiangalia tu picha utaelewa kuwa huko walikotoka mwenye basi alimfanyia hivyo dereva wa lori hivyo nae ameamua kulipa kisasi
 
Dereva la lorry amekiona cha mtemakuni

View attachment 1657113


😁😁😁😁😁😁
Safi sana, huyu kibaka dereva ilibidi wamuue tu ni kosa kumwacha. Madereva wengi mwisho wa mwaka uwa wanapewa ruzuku na mabosi wao kuua watu kwa kufanya makafara ya ajali na kumwaga damu barabarani kutekeleza ahadi na bosi apate kutajirika zaidi. Usikute jamaa alishalipwa mamilioni kadhaa kumwaga damu leo hii huku bosi akisubiri simu tu asheherekee utajiri mpya. Kumbe mama D nawe ulikuwepo hapa, pole sana kwa kukoswa kufanywa kafara, dah maisha haya.
 
Back
Top Bottom