Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Wengine hapo wana mahasira ya vikoba na udalali........ wamepata punching bag ya kuondoa frustrations zao.

Mob violence kama hizi utazikuta kwenye jamii za watu masikini tu! Wana hasira kama mashetani!

Mwingine hajui hata nini kinaendelea, akifika yeye ni kurusha tu jiwe!
Jamii ya kimaskini hawajui sheria wao ni kupiga na kuuwa
 
Kilichotokea nyuma na Kupelekea tunacho-onyeshwa hapo hatukijui.

Ni-Kosa kubwa kuhukumu.

Madereva wanajuana sema huenda,
Huyu wa Fuso alikuwa na Siku yenye Mkosi.
 
Mnapoibiwa kura na haki zenu za kuchagua viongozi mnaowataka hizi kelele na hasira sizisikiagi, au hizo siyo muhimu?
 
VIDEO: Polisi Shinyanga imewakamata Abiria wote na Dereva wa Basi kwa tuhuma za kumpiga Dereva wa Lori ngumi na mateke wakimtuhumu kutaka kuwasababishia ajali, Abiria hao ni watatu, japo RPC amesema Dereva wa Basi ndio alianza uchokozi, wa Lori pia amekamatwa. #MillardAyoUPDATES https://t.co/9CIONuOqsS
Walompiga wakamjeruhi na kumsababishia maumivu makali
 
Back
Top Bottom