Wamama wamekuwa wakali na ajali za barabarani

Mama D nilikuepo hapo, hujaniskia nikipambana😁😁 Yaani dereva alionja joto ya jiwe
 
Mama D nilikuepo hapo, hujaniskia nikipambana😁😁 Yaani dereva alionja joto ya jiwe
Safi sana, hivi ni wewe ndiye uliyekuwa unapiga kelele zaidi huku umeshika hand bag na kuanguka pale chini?
 
Safi sana, hivi ni wewe ndiye uliyekuwa unapiga kelele zaidi huku umeshika hand bag na kuanguka pale chini?
Angalia vizuri nyuma ya mwanaume mwenye amevaa tshirt ya njiani utaniona🀣🀣🀣
 
Angalia vizuri nyuma ya mwanaume mwenye amevaa tshirt ya njiani utaniona🀣🀣🀣
Huyu mwaname wa Dar aliyefanana na shape ya Makonda? Mbona unaonekana kama ulikuwa unamlinda Makonda vile, alikuwa anaogopa kupigwa na mademu nini?
 
Dereva wa roli hakuwa na kosa mwenye kosa alikuwa dereva wa basi alikuwa anataka kumuovertake awahi kwenda kupima mzani wa tinde.. dereza wa lori akabana pande yake jamaa wa basi ikabidi atoke kushoto.. dereva wa basi na hao abiria wanne wanakamatwa na wamefunguliwa mashtaka mwenye kosa alikuwa dereva wao wa basi.
 
Ila hizi ni tabia za manyani, kweli dereva aje agonge basi hivi hivi tu makusudi bila sababu kwani yeye haogopi kufa? Kuna kufeli breki, kuna kukwepa mashimo na wanyama na sababu zingine nyingi sana
No ishu ni kuwa walikuwa wanatukanana na huyo mwenye basi kuanzia mizani huko!

So mwenye Lori akaamua kumuonesha jeuri mwenye basi kuwa ' oyaa mi barabara kuu ni sebuleni kwangu'

That's y akamfanyia hivo, main point ni kuwa hao wamama wanaosifiwa wameshafikishwa mahakamani, na maderee wote wako kwa court

Nikiripoti kutoka eneo la tukio ni Mimi SHIHATA wa JF
 
Hapo dereva wa loli sio bure mpaka kumfanyia ivyo,madereva wa mabasi wengi wao wanafujo sana wawapo barabarani
Tena madereva wa Lori ni wastarabu mnoo, mi nazinguaga mara kibao highways lkn wananipotezea...sikilizia maderee wa mabus sasa [emoji57][emoji57] yaan hamna tofauti na wa madaladala
 
You've gone too far brah!
 
Mama D nilikuepo hapo, hujaniskia nikipambana😁😁 Yaani dereva alionja joto ya jiwe
Wewe tena!unaonekana mtata sana
Ila lazima nikuingize kingi nikupige aka dhulumu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
 
Wengine hapo wana mahasira ya vikoba na udalali........ wamepata punching bag ya kuondoa frustrations zao.

Mob violence kama hizi utazikuta kwenye jamii za watu masikini tu! Wana hasira kama mashetani!

Mwingine hajui hata nini kinaendelea, akifika yeye ni kurusha tu jiwe!
 
Nimecheka sana🀣🀣🀣🀣🀣 kelele za piga kabisa zimekua na nguvu kuliko hata kipigo chenyewe
Inasikika sauti ya mama ambae ndie katibu wa hamasa wa zoezi hilo. Yuko vizuri.
 
Wewe tena!unaonekana mtata sana
Ila lazima nikuingize kingi nikupige aka dhulumu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ova
Hahaha mrangi kweli pesa ilivyo ngumu ukinidhulumu nakulaani hakiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We unajua iyo gari ya mizigo ilitoka wapi na bus hadi wakatendeana hivyo?..
VIDEO: Polisi Shinyanga imewakamata Abiria wote na Dereva wa Basi kwa tuhuma za kumpiga Dereva wa Lori ngumi na mateke wakimtuhumu kutaka kuwasababishia ajali, Abiria hao ni watatu, japo RPC amesema Dereva wa Basi ndio alianza uchokozi, wa Lori pia amekamatwa. #MillardAyoUPDATES https://t.co/9CIONuOqsS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…