Jamii ya kimaskini hawajui sheria wao ni kupiga na kuuwaWengine hapo wana mahasira ya vikoba na udalali........ wamepata punching bag ya kuondoa frustrations zao.
Mob violence kama hizi utazikuta kwenye jamii za watu masikini tu! Wana hasira kama mashetani!
Mwingine hajui hata nini kinaendelea, akifika yeye ni kurusha tu jiwe!
Wanaume wa bush ndo maana tunawaliza sana pale sokoni karumeMumama mmoja wa mkoani ni wanaume wa3 wa dar
Walompiga wakamjeruhi na kumsababishia maumivu makaliVIDEO: Polisi Shinyanga imewakamata Abiria wote na Dereva wa Basi kwa tuhuma za kumpiga Dereva wa Lori ngumi na mateke wakimtuhumu kutaka kuwasababishia ajali, Abiria hao ni watatu, japo RPC amesema Dereva wa Basi ndio alianza uchokozi, wa Lori pia amekamatwa. #MillardAyoUPDATES https://t.co/9CIONuOqsS
Yes, but it's the truth and it has to be said.You've gone too far brah!