Waha wachapakaz
Wamanyema mamwinyi
Ova
Kabisa mkoa wa kigoma unawakilishwa na hao waha hawa wengine hawana identity, ndio maana mtu akitaja anatokea kigoma watu wanadhani ni muha kama ilivo mbeya mtu akitaja unahisi mnyakyusa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waha wachapakaz
Wamanyema mamwinyi
Ova
Haya unayoongea ni ya miaka hii, ila kuanzia 2000 kushuka chini maeneo mengi ya nchi, hakuna watu waliokuwa wanafahamu kabila linaloitwa waha.Kabisa mkoa wa kigoma unawakilishwa na hao waha hawa wengine hawana identity, ndio maana mtu akitaja anatokea kigoma watu wanadhani ni muha kama ilivo mbeya mtu akitaja unahisi mnyakyusa,
Haya unayoongea ni ya miaka hii, ila kuanzia 2000 kushuka chini maeneo mengi ya nchi, hakuna watu waliokuwa wanafahamu kabila linaloitwa waha.
Ujasiri bila pesa Ni uzwazwaNatoa salamu kwenu marafiki na ndugu zangu. Kwa wale wasiolifahamu hili kabila. Wamanyema ni kabila linalopatikana katika mkoa wa Kigoma, hasa hasa maeneo ya mjini kama vile Kigoma mjini, Ujiji, Mwanga, Gungu na baadhi ya maeneo ya Kasulu mjini.
Yani toka enzi za ukoloni mpaka leo hii, mtoto wa mjini pale Kigoma ni mmanyema, japo miaka hii kuna waha wachache waliojisogeza sogeza na kufoji uenyeji wa mjini kwa kuiga mienendo na tamaduni za kimanyema nk.
Pia kabila hili la Wamanyema linapatikana katika baadhi ya maeneo ya mkoa wa Tabora, na huko Ufipa mkoani Rukwa.
Wamanyema ni kabila la pili kwa ukubwa mkoani Kigoma, kabila la kwanza kwa ukubwa mkoani humo ni Waha ambao wengi wanaishi vijijini, pamoja na makabila mengine madogo madogo.
Wamanyema ni kati ya makabila ya mwanzo mwanzo kabisa kufika katika mkoa wa Dar es salaam enzi hizo ikiitwa mzizima, kabla hata Tanganyika haijawaza au hata kufikiria kuwa kuna siku itapata uhuru.
Pia Wamanyema ndio lilikuwa kabila la kwanza la wageni kumiliki maeneo yote muhimu ambayo sasa ndio mjini kama vile Kariakoo, Ilala na Tabata.
Kwa watu wanaoishi au waliowahi kufika Dar es salaam nafikiri mnaufahamu msikiti wa Manyema uliopo katika katika ya mjini yani kariakoo, ule msikiti ulijengwa kabla ya uhuru na hakuna mkoloni yeyote aliethubutu kuugusa kwa vile hata wakoloni walilifahamu vizuri hili kabila, kwamba sio la kulifanyia mzaha hata kidogo.
Kabla mambo ya utandawazi hayajaeneo na kupelekea waha kuvamia miji kwa fujo hasa kwa mkoa wa Dar es salaam, watu wengi walikuwa wanajua kuwa Wamanyema ndio kabila pekee katika mkoa wa Kigoma.
Ila miaka inavyokwenda ndo na mambo yanavyozidi kujiweka wazi yenyewe, na kupelekea watu kujua makabila mengine ya mkoa wa Kigoma.
Wamanyema ni kati ya Makabila yaliopigania uhuru kwa kupambana na wakoloni, huku wakishirikiana na wenyeji wao wa Dar es salaam kama vile Wazaramo, Wandengereko na makabila mengine ya mkoa wa Pwani.
Tabia za wamanyema wake kwa waume ni 1] usafi 2] umaridadi 3]unadhifu. Wamanyema wengi ni maridadi sana kuanzia kwenye swala la mavazi, usafi wa mwili ndani na nje, pia huwa hawajinyimi kula.
Ni vigumu sana kumkuta mmanyema anatembeza mayai, sijui vikapu vya mafuta uzuri na biashara nyingine ndogo ndogo za kuzurula juani, hizi biashara kwa watu wanaotokea Kigoma iwe kwa mkoa wa Kigoma wenyewe, Dar au kwengineko huwa zinafanywa na waha.
Kwa mtu ambae ashawahi kuishi na wamanyema iwe jirani au nyumba moja nafikiri atakuwa amenielewa. Kama una mkeo au mumeo akinaswa na mmanyema tu basi andaa talaka, au kama mwanamke andaa kutalikiwa kabisa, maana mkeo au mumeo ndo umeshamkosa tayari.
Sifa nyingine 4]ubishi 5]kujiamini kupita kiasi. Mmanyema anaweza kutoa hela yake mfukoni akaununua ugomvi wa rafiki yake, na kuanza kupambana kwa niaba yake.
Watu maarufu kutoka katika kabila la Wamanyema ni 1]Sheikh Yahya Husein (aliekuwa mtabiri afrika mashariki) 2] Iddi Faiz Mafongo (aliekuwa mwekahazina wa chama cha TANU) 3] Iddi Tosiri 4] Iddi Simba (huyu mama alikuwa mmanyema, huku baba ni mdengereko) 5] Amri Abedi Karuta (meya wa kwanza jijini Dar) 6] Amani Kabouru (aliekuwa mbunge wa kwanza Kigoma mjini CDM) 7] Diamond 8] Ally Kiba 9] Ommy Dimpoz 10] mh Zitto Kabwe kiongozi wa ACT wazalendo (mbunge mstaafu) 11] Katibu mkuu kiongozi mh balozi Huseein A.
Katanga na wengine wengi serikalini, siasani, kwenye michezo, mziki na fani mbali mbali.
Tatizo kubwa la Wamanyema wa enzi hizo (yani mababu) ilikuwa ni ushirikina. Jambo lililosababisha wamanyema wengi kusambaa katika mikoa mingine hasa Dar es salaam na kujenga huko ili kuwaepuka vigagula hao.
Pia wamanyema hawana ushirikiano kivile katika mambo yanayohusu maisha. Iwe kazini, katika biashara na mambo mengi ya kimaendeleo huwa hawabebani kama yanavyobebana makabila mengine, yani kwa wamanyema kila mtu hubeba msalaba wake mwenyewe.
Kwa kukosa kushirikiano huo ndio maana mababu ambao ndio waliwahi kuwa wamiliki wa maeneo ya Kariakoo, Ilala, Tabata nk walipofariki, wale waliorithishwa maeneo hayo waliyauza yote kwa wahindi (K'koo) waarabu (Ilala) pia maeneo mengi ya Tabata waliorithishwa waliyauza kwa watu mbali mbali.
Ujasiri bila pesa Ni uzwazwa
Asilimia 75 ya wakazi na wenyeji wa Kigoma mjini ni wamanyema. Afu kama nilivyokwambia kwamb wamanyema wengi waliuacha mkoa wa Kigoma na kusambaa katika maeneo mbali mbali ya nchi, huku wakiwaacha waha na makabila mengine yaendelee kulima nk. Hata mwl Nyerere wakati wa kudai uhuru alipokwenda Kigoma alikutana zaidi na wazee wa kimanyema kule ujiji.Mimi kuwafahamu nilijua waha kupitia tajiri wa World oil miaka ya zamani na identity ya mkoa wako ni waha kwani ndio wengi ninyi vikabila vingine vidogovidogo hamna umaarufu iwe elimu au biashara
Hapo kwenye wizi hata kama wao (waha) ndio wezi lazima jamaa yako aliweke kabila lake mbali na wizi huo.
Mmanyema mmoja alishawahi ramani vidole vyangu vta mikono,ati kwa ndizi si mchezoHauwezi kumjua mchawi kama na ww sio mchawi. Bila shaka mlishirikiana kuwala hao watu.
Aslimia 75 ya wakazi Kigoma ni Wamanyema? Zaidi ya Kigoma Mjini wanapatikana wapi Mkoa wote, Waha unawakuta Kasulu, Kibondo, Buigwe, UvinzaAsilimia 75 ya wakazi na wenyeji wa Kigoma mjini ni wamanyema. Afu kama nilivyokwambia kwamb wamanyema wengi waliuacha mkoa wa Kigoma na kusambaa katika maeneo mbali mbali ya nchi, huku wakiwaacha waha na makabila mengine yaendelee kulima nk. Hata mwl Nyerere wakati wa kudai uhuru alipokwenda Kigoma alikutana zaidi na wazee wa kimanyema kule ujiji.
Infact Kuna mke wa mmanyema nilimpelekea Moto Hadi akamwacha mumewe,lakini ile familia baba anakula watoto,anakula wakweAisifiae mvua, jua imemnyeshea. Umejuaje kama wanaume wa kimanyema ni malaya au washakutenda dada yetu?
Aslimia 75 ya wakazi Kigoma ni Wamanyema? Zaidi ya Kigoma Mjini wanapatikana wapi Mkoa wote, Waha unawakuta Kasulu, Kibondo, Buigwe, Uvinza
-Makabila yanayoongoza Kwa ujanja ni makabila ya ukanda wa pwani, na hata ustaarabu ulianzia pwani