Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Mkuu naomba ukiwa na nafasi utueleze mambo ya Beirut (lebanon) na Bogota (Colombia)
 
Sema Singapore nahisi km itakuwa ni miongoni mwa sehemu ghali sana kuishi

Asee living cost ni kubwa
Luanda Angola ni nyoko, lodge tunazolipa 20,000 bongo kule ni Dola 150, ila utakula kitimoto hadi uchoke. Kule kama wewe ni fundi magari utapata kazi nyingi sana. Niliwakuta vijana wa Mwananyamala Mbeya ndo wanapiga hizo dili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…