National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ vitu vizitooo kitu ganii banaaa.. labda vijana wa dar ndio wanaviogopaNapenda mashujaa Kama nyinyi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ vitu vizitooo kitu ganii banaaa.. labda vijana wa dar ndio wanaviogopaNapenda mashujaa Kama nyinyi
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmetisha๐ ๐ ๐ ๐ ๐ vitu vizitooo kitu ganii banaaa.. labda vijana wa dar ndio wanaviogopa
Ndio mkuu Kensington...kengston si uingereza?You mean Kensington right ?...alafu hizi sehemu ni karibu karibu, Phily is the largest city in Pennsylvania and one of the oldest in the U.s.
mkuu hata sielewi japokuwa wanasemaga hayo maeneo inaish jamii ya watu ambao ni working class...Na yes uingereza pia kuna kensington pia ambayo ni residence ya British royal family....Ndio mkuu Kensington...kengston si uingereza?
Kumbe wako karibu? Ile miji Ina shida gani mbona wale homeless wanakata stimu ya kwenda huko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mimi nimetembelea Majiji kadhaa nchini! Hakika nimeinjoi sana. Kuanzia Dar es salaam, Dodoma, Tanga, Mbeya, Arusha! Na sasa naangalia uwezekano wa kutembelea Jiji la Mwanza!!
Yeah!! Kila mtu ashinde mechi zake. Maana hakuna namna nyingine.
[emoji38][emoji38][emoji38]wee jamaa unatafta ugomvi[emoji1787]Ila sijaona mtu anatamani kwenda Kabul,islamabadi au Baghdad [emoji41] mbona kote huko kuzuri[emoji1]
Apo ni wastani wa chini wa kuishi Nu Yoko kwa mwaka mmoja. Japo wapo watu wanaishi chini ya hapo ..iyo nimetowa mtandaoni tuNauli na gharama au nauli tu fafanua zaidi. Naona mtoa mada anarukaduka tu na kusingizia mambo ya protokali za misafara ktk ziara mbalimbali
Mimi natamani kufika Tehran kinomaIla sijaona mtu anatamani kwenda Kabul,islamabadi au Baghdad [emoji41] mbona kote huko kuzuri[emoji1]