Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Nimepata interest ya kuangalia baadhi ya Majiji uliyoyataja..Nimezama Youtube kuliangalia jiji la Luanda..Ebanaaa eeee,wametuacha sana kwa kuangalia tu video.

Kinshasa sijaona uzuri ambao baadhi ya wadau wameusema humu kwamba Jiji hilo ni zuri kushinda Dar.
 
Hata mimi nimetembelea Majiji kadhaa nchini! Hakika nimeinjoi sana. Kuanzia Dar es salaam, Dodoma, Tanga, Mbeya, Arusha! Na sasa naangalia uwezekano wa kutembelea Jiji la Mwanza!!

Yeah!! Kila mtu ashinde mechi zake. Maana hakuna namna nyingine.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
In New York (ayy)
Concrete jungle where dreams are made of
There's nothin' you can't do (that boy good)
Now you're in New York (welcome to the bright light, baby)
These streets will make you feel brand-new
Big lights will inspire you
Let's hear it for New York
New York, New York
[emoji122]
 
Sijui uhuru ulikua wa kazi gani zaidi ya kujipa wao na watoto wao ulaji?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapigania Uhuru walipigania maslai Yao binafsi na Sio ya waafrika wote hata baada ya Uhuru wakageuka kuwa wakoloni weusi kwa kujimilikisha raslimali zetu wao na familia zao huku mamilioni ya waafrika wakitopea kwenye lindi la umasikini maradufu zaidi.
Waafrika wamekuwa masikini sana baada ya Uhuru.
 
Back
Top Bottom