Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Miaka 100 ijayo labdaIla lile soko la dodoma walichochora. Sijui kwa miaka ya baadaye, hata stendi yeyewe sijawahi kuielewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 100 ijayo labdaIla lile soko la dodoma walichochora. Sijui kwa miaka ya baadaye, hata stendi yeyewe sijawahi kuielewa.
Ni wazo zuri ila wanatakiwa waangalie na jamii ya eneo husika.Hii tabia kujenga stand nje ya miji aliileta magufuli[emoji23]
Miaka 100 Stand zaweza zisiwepo tenaMiaka 100 ijayo labda
Sasa kiongozi uweze kupiga mishe ny huku sweken nani atakushinda 😃Jay Z aliwahi kusema if you can make it in New York, you can make it anywhere
Pole sana mkuu kabla cjarudi bongo nimeishi sana huko pakawaida tu Wala wasikutisheJapo kapicha mkuu sisi wengine tunapasikia tu huko.
vipi san fransisco california, na washington japo najua ni jiji la kiserikaliBut new york pamoja na ukubwa wake bado kuna watu wengi maarufu wanakimbilia kuishi los angeles sababu ya mazingira yake,new york mji umejaa maghorofa ningumu kupata nyumba zenye nafasi kubwa ,los angeles inavutia wengi mfano maeneo kama barveley hills na hollywood imevutia watu wenye interest ya uigizaji
Siku moja ufike Limuru. Baridi kama la urusi.Yaap kila mtu na experience yake. Nchini kwenu kule Kisii kuna baridi hatari kidongo chekunduu
Ushavuta weed wewe sio bure [emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nimefika jiji la Dodoma, hata hiyo new york haifikii.
$5,000Nauli na gharama au nauli tu fafanua zaidi. Naona mtoa mada anarukaduka tu na kusingizia mambo ya protokali za misafara ktk ziara mbalimbali
Nliwah pata demu wa kiangola Anita aisee alinifundisha mpaka Portuguese mzee, sikuiz huwa yupo portugal, Braga. Umenikumbusha mbali sana man.. Anyways there is no success like New York success...Luanda Angola ni nyoko, lodge tunazolipa 20,000 bongo kule ni Dola 150, ila utakula kitimoto hadi uchoke. Kule kama wewe ni fundi magari utapata kazi nyingi sana. Niliwakuta vijana wa Mwananyamala Mbeya ndo wanapiga hizo dili
Nliendaga Chennai kusoma certification, ilikuwa sponsored na kazi....Hapana, mastaa wao wengi wa India wanaishi Mumbai. Mji uliojengeka na wa kistaarabu. New Delhi ukipewa gari katikati ya jiji unaweza ushindwe kuendesha, honi ni nyingi hadi masikio yatakuuma.
Snoop is from the SOUTH... LBC...Pac alishasema To live and die in LA..Vip brother ukikutana anko snoop
Wapeleke watu sehemu kama St Louis Missouri na Detroit Michigan, hizi sehemu hazina watu wengi wanakimbia sababu ya high crime rates... Wafanye projects kama jamaa mmona alivyosema alafu waimarishe security wawakimbize wahuni, Marekani sehemu nyingi zenye high crime rate.majumba yako abandonedCNN walisema wasipochukuaa hatua miaka mia ijayo linaweza kuzama lote. Jinsi yale majengo walivyojenga hata sikuelewa ni ukiyaangali kama yamebebana hivi
Hapa mbona kama posta tuu DSM!
New York ni kama Mwanza tu mbona mkuu
Majina tu yanavutia na unajua yaliyomo yamo! Mi nadhani hapa wana JF wote angalau kabla muda wa kuishi haujafika angalau tufike kwenye moja ya majiji hayo..hatutakuwa the same tukirudi bongo. Badala ya kuona kwa movies..Pia kule Hawaii ile nature hatari sana.Yaani we acha miji imrpangika haswa
Vibishi sana alafu vina woga na vitoa rushwa vizuri sana..!.ile jamii huwa naishangaa sana...janja janja sanaVihindi vilivyo vilazmishi lazima honi ziwe nyingi, watu tumeumbwa tofaut ila wahindi wameumbiwa ubishi
Sijui uhuru ulikua wa kazi gani zaidi ya kujipa wao na watoto wao ulaji?Tusingedai Uhuru Dar ingeizidi Capetown kwa uzuri na mpangilio