Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kinshasa na Bujumbura na Nairobi nilizopita mm ni kwenye zile slums tu mkuu???Soma tena uelewe
Mkuu ungetuekea na tupicha picha ukiwa huko NYCKuna jambo nimeamua kushea kidogo humu.
Kwa kazi yangu nashukuru Mungu nimetembea tembea kidogo katika majiji mengi makubwa duniani.
Nilipofika New York Marekani, aisee lile jiji ni zuri sana. Wiki mbili nilizokaa niliziona chache sana. Wenyeji wangu walinitembeza sana, nilienjoy mno, nilikuwa na wakati mzuri sana. (Naamini kuna siku nitarudi tena).
Nilimelitaja jiji la New York kuwa zuri sana nikilinganisha na majiji niliyowahi kufika ingawa yote sikuwahi kukaa zaidi ya mwezi. (Unaweza kupingana na mimi kwa majiji ambayo umewahi kufika mimi sijawahi)
Majiji yenyewe ni haya:
Afrika.
Bujumbura(Burundi), Nairobi, Kisii na Kisumu(Kenya), Blantyre, Karonga, Mzuzu, Zomba na Lilongwe(Malawi), Maputo, Cabo Delgado, Tete na Chimoio (Msumbiji), Luanda na Calulo (Angola), Kinshasa na Lubumbashi (DR Congo), Johannesburg((Afrika Kusini)
Ulaya
Frankfurt na Berlin (Ujerumani), London (England), Helsinki(Finland), Paris (Ufaransa)
Midlle East
Beirut (Lebanon)
Asia
Hon Kong na Beijing (China), Seoul (Korea Kusini), New Delhi na Mumbai (India)
Latin America
Huku sikufika katika nchi tano tu (Argentina, Paraguay, Uruguay, Chile na Venezuela) zingine zote nimefika
North Amerika
Marekani(New York)
Hitimisho langu, katika majiji yote hayo niliyofika mimi, kwakweli nakiri kabisa, New York ni JIJI haswa.
Halafu kwa jiji la Kinshasa kule DR Congo kwangu mimi binafsi Dar es Saalam bado tuko nyuma sana. Kabla hujafika ukisikia mambo ya vita ya Congo unaweza kudhani Kinshansa ni kajiji tu kahovyo, lakini aisee, nalo ni jiji kweli kweli.
Sipokei ikalie mwenyewePokea mido finger man.
Mkuu mbona unatupanga??? Shangai hii hii ya maghorofa mbanano unailinganisha na jiji la ndoto ya binadamu wote New york???Newyork kwa Shanghai inasubiri sana
Mbona Dubai palikuwa jangwa zaidi kuliko hata Dodoma?Majiji hujijenga yenyewe kulingana na uhitaji wa vitu na watu.
Stendi na Soko la Dodoma ni mfano mzuri wa upotevu wa pesa
Hapana aisee... Shanghai akasome kwa New York.Newyork kwa Shanghai inasubiri sana
Unawezaje kutembea kona zote hizo?Singapore sijafika, ila nasikia kuzuri sana. Kuna siku katika harakati zangu naamini nitafika tu
Infrastructure, skyscrapers, na ukubwa wa mji, Sanghai inatisha zaidiHapana aisee... Shanghai akasome kwa New York.
Nipo hapa hapa Seoul, wiki ijayo jumanne ntaelekea New York hivyo nitaleta mrejesho. Kuweni wapoleKuna jambo nimeamua kushea kidogo humu.
Kwa kazi yangu nashukuru Mungu nimetembea tembea kidogo katika majiji mengi makubwa duniani.
Nilipofika New York Marekani, aisee lile jiji ni zuri sana. Wiki mbili nilizokaa niliziona chache sana. Wenyeji wangu walinitembeza sana, nilienjoy mno, nilikuwa na wakati mzuri sana. (Naamini kuna siku nitarudi tena).
Nilimelitaja jiji la New York kuwa zuri sana nikilinganisha na majiji niliyowahi kufika ingawa yote sikuwahi kukaa zaidi ya mwezi. (Unaweza kupingana na mimi kwa majiji ambayo umewahi kufika mimi sijawahi)
Majiji yenyewe ni haya:
Afrika.
Bujumbura(Burundi), Nairobi, Kisii na Kisumu(Kenya), Blantyre, Karonga, Mzuzu, Zomba na Lilongwe(Malawi), Maputo, Cabo Delgado, Tete na Chimoio (Msumbiji), Luanda na Calulo (Angola), Kinshasa na Lubumbashi (DR Congo), Johannesburg((Afrika Kusini)
Ulaya
Frankfurt na Berlin (Ujerumani), London (England), Helsinki(Finland), Paris (Ufaransa)
Midlle East
Beirut (Lebanon)
Asia
Hon Kong na Beijing (China), Seoul (Korea Kusini), New Delhi na Mumbai (India)
Latin America
Huku sikufika katika nchi tano tu (Argentina, Paraguay, Uruguay, Chile na Venezuela) zingine zote nimefika
North Amerika
Marekani(New York)
Hitimisho langu, katika majiji yote hayo niliyofika mimi, kwakweli nakiri kabisa, New York ni JIJI haswa.
Halafu kwa jiji la Kinshasa kule DR Congo kwangu mimi binafsi Dar es Saalam bado tuko nyuma sana. Kabla hujafika ukisikia mambo ya vita ya Congo unaweza kudhani Kinshansa ni kajiji tu kahovyo, lakini aisee, nalo ni jiji kweli kweli.
Tilth huyuUpo kwenye mashirika ya kimataifa??
Huwa najivunia nimeshatembea duniani kwa kufika majiji ya Bongo Dar, Tanga, Arusha, Zoo.Hakika ipo siku tutakutana huko Los Angeles tupige selfie [emoji1702]