Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Wamarekani lile jiji la New York waliamua aisee!

Hata mimi nimetembelea Majiji kadhaa nchini! Hakika nimeinjoi sana. Kuanzia Dar es salaam, Dodoma, Tanga, Mbeya, Arusha! Na sasa naangalia uwezekano wa kutembelea Jiji la Mwanza!!

Yeah!! Kila mtu ashinde mechi zake. Maana hakuna namna nyingine.
 
Yote heri mkuu, hapa Tanzania tunazaliwa hadi tunakua wazee kuna sehemu tunajikuta hatujafika. Hivi karibuni nilifika Chunya kwa mara ya kwanza nilipenda sana ile milima ya Kona za Jiji, unaona bonde la usangu kama upo kwenye helkopta. Nzuri sana
 
Inategemea na interests zako unapendelea nn ktk hayo majiji

Binafsi kuna majiji naona yapo vzur zaidi ya newyork

Tokyo, dubai, Singapore, Mexico city, Paris na Miami na Rio de Janeiro ndo majiji yangu pendwa..ipo siku nitafika huko
 
Back
Top Bottom