Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Kwenye hiyo sentence umeone neno la ushoga tu pekeyake?

Alafu kwanini ukisikia neno ushoga unashtuka sana??
Nimeshituka sababu nikaona labda unapenda sana mashoga,sasa sikujua wewe ni basha au????Maana mkuu unavyopenda kuwataja mashoga kwenye comment zako mpaka unatutisha wapinga ushoga.
 
Unapinga US kuifadhili Ukraine, wakati huo ukimpogeza Putin alieivamia Ukrain. Lkn pia kuandamana Urusi ni kosa linalotozwa!.
 
USA ndio free world...umeandika ukweli kabisa.
 
# free jullian assange #
 
Mi natumia mjapani kuanzia gari simu hadi electronics. Situmii vifaa vya mashoga wenzenu wa USA.
Asa mjapani anatengeneza vitu from scratch
Kama ni hivyo kwani kwao Google na Yahoo ni namba moja ( hajui codes? )
Huyo mjapani anachanganya na tech ya mzungu na makumpuni mengi ya Japan , yana hisa za wazungu(mashoga)
Mjapani ni kama kibaru tu, Kama alivyo Mchina
 
Mm nilijua marekani nzima. Ni sawa kusema SIMIYU kule wameandamana Tanzania
 
Hao akina bibi hapo ndio wanawakilisha wamarekani,mkuu hebu kuwa serious kidogo
 
Kwa sisi wenye akili huru tunasema hamna maandamano hapo. huwezi kusema wamarekani wameandamana kwa maandamano ya watu 100.
Hata urusi kuna walioandamana kupinga smo japo walikula virungu.

wenzetu wana demokrasia, wangekuwa hawataki hiyo vita wangemtoa biden mamlakani kwa maandano mapema sana.

jiulize pamoja na hii vita kusababisha mfumuko wa bei na kupanda kwa gharama za maisha, kwa nini hakuna chama kilichopigania marekani kujitoa katika uchaguzi uliopita?
democratic na republican wameungana katika hili japo naweza nisijue kwa nini lakini hii inaonesha majority ya wamarekani wanaunga mkono hii vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…