Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Na ndivyo inavyopaswa kuwa. Huwezi kubaliwa na watu wote jambo lako.Urusi walikuepo wanaopinga vita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo inavyopaswa kuwa. Huwezi kubaliwa na watu wote jambo lako.Urusi walikuepo wanaopinga vita
Kwenye hiyo sentence umeone neno la ushoga tu pekeyake?Brother unapenda sana kutaja sana mashoga kwenye comment zako???
Nimeshituka sababu nikaona labda unapenda sana mashoga,sasa sikujua wewe ni basha au????Maana mkuu unavyopenda kuwataja mashoga kwenye comment zako mpaka unatutisha wapinga ushoga.Kwenye hiyo sentence umeone neno la ushoga tu pekeyake?
Alafu kwanini ukisikia neno ushoga unashtuka sana??
USA ndio free world...umeandika ukweli kabisa.Marekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanatumia sana lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Unachanganya mambo.....Marekani haipo vitani huko Ukraine.Historia ya 1967 ijirudie!View attachment 2526140View attachment 2526141
Kwahiyo kibabu Biden jana kilikuwa kinatapika nyongo za kilevi??Unachanganya mambo.....Marekani haipo vitani huko Ukraine.
😁😁Maposeni peramiho hiyoBila kuwasahau nato wa Maposeni.
Tutajie taifa ambalo hakuna kila aina ya RAIA tutajie moja tuuuUfahamu kuwa USA kuna kila aina ya raia hapo.taifa lisilo na mwenyewe.
Unaweza kukuta ni warusi wa kimarekani
Ccm iliyopo tanzaniaTutajie taifa ambalo hakuna kila aina ya RAIA tutajie moja tuuu
# free jullian assange #Marekani huwez ifananisha ni nchi yyte kule uhuru ni mkubwa sana, hata ww bwana wako akikunyima unyumba unaruhusiwa kuandamana na polisi watakusindikiza kwa Usalama zaid ila Urusi hayo mambo ya maandamano huwez sikia maana hakuna uhuru ni mbinyo kwenda mbele ww unafikir hao raia wa Urusi wanaofariki huko Ukraine Frontline ndugu zao hawaumii? Wanatumia sana lakin hawana jinsi maana Putin akiamua hakuna wa kumpinga so hamuwez kuandamana Wala kupaza sauti zenu popote.
Nakuupigia debe ushoga nimatatizo ya nani!!!??kuwa shoga ni maatizo na upumbavu wa mtu this whole world inakimbizwa na mmarekani directly na indirecltly
Asa mjapani anatengeneza vitu from scratchMi natumia mjapani kuanzia gari simu hadi electronics. Situmii vifaa vya mashoga wenzenu wa USA.
Na ugaidi , chuki na majini , si vimetokea kwa wale mnaowatukuza(waarabu)Hata AIDS na covid-19 hao hao mashoga ndio wametengeneza
Kila ovu hapa DUNIANI limeletwa na marekani na shosti zakeNa ugaidi , chuki na majini , si vimetokea kwa wale mnaowatukuza(waarabu)
Asa kwa nini mnakimbiliaga huko Marekani , Kwa nini msiwe mnaenda UarabuniKila ovu hapa DUNIANI limeletwa na marekani na shosti zake
yale yaleNakuupigia debe ushoga nimatatizo ya nani!!!??