Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Cha muhimu hana itikadi za ki shoga
 
Hata vietnam waliandamana!
urusi nako wanaandama kumpinga putin

 
Russia wapinga vita hawawezi kuandamana!
Kweli Marekani ni baba wa demokrasia, kitovu cha uvumilivu na ustaarabu.
 
Hii inawezekana katika nchi za kidemokrasia tu.
Russia wanaopinga uvamizi hawawezi kuandamana wala kuukosoa, wanapigwa marungu na kufungwa.
Nchi nzima wanakubalianaje na serikali? Lazima wapingaji wawepo.
 
Reactions: Tsh
Uko sahihi, vilaza hawaelewei.
 
USA na NATO( colonialists) na UN Yao, wanaupeleka ulimwengu wanavyotaka wao.Maamuzi Yao ya hovyo yameharibu sana amani ya Africa,mf. Congo, Libya, Angola, nk. Wahovyo na hawapendi amani ya ulimwengu, The World needs powerful Russia and China to have Worldz balance of Power.
 
Wajapan wanapewa ulinzi na Wamarekani ili waweze kukutengenezea wewe simu.
Hakuna cha ulinzi hapo, marekani anawafanya wajapani misukule yake

Aliwaambia wa South korea hivyo hivyo. Mwezi jana kiduku aliingiza ndege zake south Korea na kukaa hewani zaidi ya masaa mnne na kuondoka bila madhala yoyote
 
 
Ndio uzur wa demokrasia. We huon urusi ilibid wakimbie nchi.
 
Ushoga uliletwa Afrika Mashariki na waarabu na mashoga mara nyingi hupenda sana kulitamka hilo neno.
 
“The conflict has exposed a deep global divide, and the limits of U.S. influence over a rapidly shifting world order. Evidence abounds that the effort to isolate Putin has failed, and not just among Russian allies that could be expected to back Moscow, such as China and Iran.
India announced last week that its trade with Russia has grown by 400 percent since the invasion. In just the past six weeks, Russian Foreign Minister Sergei Lavrov has been welcomed in nine countries in Africa and the Middle East — including South Africa, whose foreign minister, Naledi Pandor, hailed their meeting as “wonderful” and called South Africa and Russia “friends.”
On Friday, a year after the invasion began, the South African navy will be engaged in military exercises with Russia and China in the Indian Ocean, sending a powerful signal of solidarity at a moment the United States had hoped would provide an opportunity for reinvigorated worldwide condemnations of Russia.”




A global divide on the Ukraine war is deepening -
The Washington Post

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…