Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Yapo mengine ndani ya bar mkuu.Kwa mfano nenda kitambaa cheupe kinondoni uone,kama unaishi dar mkuu.Kwa nini majiko ya kitimoto yanawekwa nje ya Bar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yapo mengine ndani ya bar mkuu.Kwa mfano nenda kitambaa cheupe kinondoni uone,kama unaishi dar mkuu.Kwa nini majiko ya kitimoto yanawekwa nje ya Bar?
Ahsante mkuu, mi natumia kuku, samaki na mboga za majani, red meat sigusi kabisa.Yapo mengine ndani ya bar mkuu.Kwa mfano nenda kitambaa cheupe kinondoni uone,kama unaishi dar mkuu.
Ukiona mtu anaitetea Urusi eitha ni Gaidi, muislamu mwenyewe msimamo mkali wa kidini au dictator.Miaka hii ukiona mtu anatetea marekani ni aidha shoga, feminists au fisadi. Watu wanaojitambua wameshaelewa marekani takataka.
Ni kweli Mkuu, Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech kama ulivyokaririshwa. Na ndio maana Snowden anaishi Marekani hadi sasa!Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech mkuu, naamini freedom of speech inaleta uzalendo, uzalendo na freedom of speech vinaenda sawa, nchi za Africa viongozi ndio walambaji asali, kuogopa kukosolewa, ukileta uhuru huo Kuna vyama vya miungu watu lazima vitoke.
Sema Snowden alipiga kwenye mshono..Ni kweli Mkuu, Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech kama ulivyokaririshwa. Na ndio maana Snowden anaishi Marekani hadi sasa!