Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Wamarekani waandamana Washington wakipinga Marekani kudhamini vita ya Ukraine, wampongeza Putin kuwa ni mzalendo

Mbona Warusi waliandamana kupinga uvamizi wa nchi yao kwa majirani zao Ukraine wakisema ni ndugu zao...
 
Eti na unaunga mkono Urusi kuivamia Ukraine! Hivi kiakili uko sawa wewe? .
Nakushauri uhamia huko na uende field ukapigane.Hopeless kabisa wewe. Basi kama ni hivyo Waingereza nao wayatwae upya makoloni yao ya zamani ikiwemo Tanganyika,the present day Tanzania.!
 
Miaka hii ukiona mtu anatetea marekani ni aidha shoga, feminists au fisadi. Watu wanaojitambua wameshaelewa marekani takataka.
Ukiona mtu anaitetea Urusi eitha ni Gaidi, muislamu mwenyewe msimamo mkali wa kidini au dictator.
 
Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech mkuu, naamini freedom of speech inaleta uzalendo, uzalendo na freedom of speech vinaenda sawa, nchi za Africa viongozi ndio walambaji asali, kuogopa kukosolewa, ukileta uhuru huo Kuna vyama vya miungu watu lazima vitoke.
Ni kweli Mkuu, Marekani ndio wapo vizuri kwenye freedom of speech kama ulivyokaririshwa. Na ndio maana Snowden anaishi Marekani hadi sasa!
 
Back
Top Bottom