Wamarekani walimpiga chini Biden Kwa kukosa uwezo sisi tunashindwa nini?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?

Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa na wala siyo chuki binafsi.

Asanteni
 
Wamarekani gani waliompiga chini Biden? Kama inafikiri unajua, basi kuwa tupo tunaojua kuhusu hilo zaidi yako.
 
Hamia usa
 
Mpaka hapa haiwezekani, labda litokee la jiwe ikawe ngome...
 
Wewe hushindwi mpige chini mumeo
 
Marekani wana mifumo imara ambayo haiyumbishwi na rais.Ulishawahi kusikia rais wa marekani kamfukuza mkuu wa mhimili wa bunge kama alivyofukuzwa jobu ndugai(spika wa bunge)? Tungekuwa na mifumo imara huo uhuni usingetokea.Matakwa ya wananchi Huwa hayaheshimiwi na mtawaka Kwa sababu anajua kabisa yeye ndiyo Kila kitu Kwa kuwa hakuna wa kumzuia sababu mifumo ni ya hovyo na ya uoga.
 
Yupo vizuri, hana shida
Hujaona daraja la kigongo busis limekamilika?
Brt Mbagala imekamilika, Brt gongo la mboto imeanza, na miradi mingi mingi
 
Yupo vizuri, hana shida
Hujaona daraja la kigongo busis limekamilika?
Brt Mbagala imekamilika, Brt gongo la mboto imeanza, na miradi mingi mingi
Zote hizo zinakiwango kidogo Cha ubora.miradi inapasuka kabla hata hazijakamilika
 
Shida uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…