MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 5,350
- 13,622
Tumpe nafasi arekebishe sasaZote hizo zinakiwango kidogo Cha ubora.miradi inapasuka kabla hata hazijakamilika

Anayeimba taarab mimi au wewe unayeandika usichojua?Sema unachojua.acha taarabu
Wamarekani hawakutishika na takwimu za KafulilaGT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?
Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa na wala siyo chuki binafsi.
Asanteni
PonjoroAnayeimba taarab mimi au wewe unayeandika usichojua?
Pamoja na hayo mamaako ananipenda sana!Ponjoro
Pia itakuwa ni kumsadia yeye mwenyewe binafsi asiharibikiwe zaidiGT.
Watanganyika kama tutaendelea kama ilivyo sasa tunakoelekea ni kubaya zaidi ya hapa tulipo. Dalili zote zimeshaonyesha kwamba namba moja hana uwezo wowote shida ipo wapi kumweka pembeni?
Maono ya mzee wa msoga yameshatimia mambo tayari yashakuwa mabya saaana kwa hiyo hakuna budi akae pembeni kwa maslahi mapana ya Taifa na wala siyo chuki binafsi.
Asanteni
Maza hana issiuePia itakuwa ni kumsadia yeye mwenyewe binafsi asiharibikiwe zaidi