Wamarekani walimpiga chini Biden Kwa kukosa uwezo sisi tunashindwa nini?

Kwa namna Nchi yetu ilivyo na Sheria zake, na Aina ya Viongozi wake....!

Mungu tu aingilie kati.
 
Wamarekani hawakutishika na takwimu za Kafulila
 
Kaa kwa kutulia, mgombea wetu anazotaarifa juu ya jukumu tunaloenda kumpa kupeperusha bendera ya chama. Bibi yeye tutampangia kazi nyingine na anajua tangu alipofanya mapinduzi kwa kujipitisha getini bila idhini ya mlinda geti. Mengine yalifanyika kama decoy kwa kina Madelu, Marope et al.
 
Pia itakuwa ni kumsadia yeye mwenyewe binafsi asiharibikiwe zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…