Wamarekani Wamemtemea Nyongo Rais Biden

Wamarekani Wamemtemea Nyongo Rais Biden

Russia ipige nuclear moja tu kwa mashoga wa ukrain na kazi iwe imeisha
Kuna kitu kinaitwa M.A.D (Mutually Assured Destruction), kuna mechanism zimewekwa inplace, kwamba the moment umebonyeza kitufe cha kurusha bomu kwa mtu yeyote yule anayechangamana na US au hata kwa US mwenyewe, basi papo hapo kabla hata bomu halijatoa sura yake nje toka kwenye mdomo wa Canoni, na wewe unapigwa na bomu la nuclear papo hapo, yani ukipiga bomu jua na wewe umeshapigwa, na ndio utakuwa mwisho wa dunia.., hatuwezi kusurvive a nuclear war

Vipi kuhusu Georgia ?
Muingiliano uliopo kati ya Ukraine na Urusi ni mkubwa sana, hata lugha zinaingiliana kiasi chake, hata undugu, waRusi wengi wana ndugu wa damu Ukraine, hivyo Ukraine na kama Urusi ndogo, kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa uRusi tofauti na Finland yenye mchangamano mdogo na uRusi
 
Ulimsikiliza au kusoma sababu alizosema Putin mwenyewe wakati anatangaza huo uvamizi?
Ulisikia akiongelea issue zozote za NATO??

Back
Top Bottom