Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu kinaitwa M.A.D (Mutually Assured Destruction), kuna mechanism zimewekwa inplace, kwamba the moment umebonyeza kitufe cha kurusha bomu kwa mtu yeyote yule anayechangamana na US au hata kwa US mwenyewe, basi papo hapo kabla hata bomu halijatoa sura yake nje toka kwenye mdomo wa Canoni, na wewe unapigwa na bomu la nuclear papo hapo, yani ukipiga bomu jua na wewe umeshapigwa, na ndio utakuwa mwisho wa dunia.., hatuwezi kusurvive a nuclear warRussia ipige nuclear moja tu kwa mashoga wa ukrain na kazi iwe imeisha
Muingiliano uliopo kati ya Ukraine na Urusi ni mkubwa sana, hata lugha zinaingiliana kiasi chake, hata undugu, waRusi wengi wana ndugu wa damu Ukraine, hivyo Ukraine na kama Urusi ndogo, kujiunga na NATO kunahatarisha usalama wa uRusi tofauti na Finland yenye mchangamano mdogo na uRusi

Heri nusu shari kuliko shari kamili, kisa Russia alizubaa kipindi cha nyuma ikatokea nusu shari, hawezi kuachia iwe shari kamiliVipi kuhusu Georgia ?
Wewe uliemsikiliza ungezitaja tu hapaUlimsikiliza au kusoma sababu alizosema Putin mwenyewe wakati anatangaza huo uvamizi?
Ulisikia akiongelea issue zozote za NATO??