Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #21
Wewe una matatizo yako that's way umekuja na agenda zako za ugaidi humu wala hakuna mahali mimi nimezungumzia habari za ugaidi zaidi ya kupost picha tuAtatoa povu kweli apo umemshika pabaya miafrica minafiki mno hata sudan mbali apo goma waasi wanaua watu yeye wala haumizwi anaumizwa na migaidi ya kiislam ya gaza iliyoenda kuua raia bila sababu yoyote
Nani aliye panick wewe una matatizo yako sio bure kama tu picha tu inakutesa hiviUsipanic acha unafiki lini umeongelea mauaji ya weusi wenzako sudan leo unaumizwa na waarabu waliojitakia vita. Maifrica tuna laana
majengo na, genocide wap na wap ? Tofautisha Vita na Genocide , Vita mnauana ila Genocide unaua watu wasio na silaha , Hamas ni wawakilishi wa Gaza na Idf ni wawakilishi wa Israel , kwenye vita vifo kwa raia ni kawaida , msichanganye mafailiWamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in GazaView attachment 2988700View attachment 2988702
una low iqWewe una matatizo yako that's way umekuja na agenda zako za ugaidi humu wala hakuna mahali mimi nimezungumzia habari za ugaidi zaidi ya kupost picha tu
Upo sahihiuna low iq
Vita hiyo waliingiza ushabiki wa dini na siasa, pia tatizo lilianzia October 7 baada ya watu wengi kupongeza mauaji ya jamaa ya kushambulia wananchi, wale wananchi walikuwa na makosa gani? Kama hamas wangekamata wanajeshi wa IDF au wanasiasa wa Israel, lakini wadada na watoto na mabibi! Israel hana cha kupoteza anajua anavyochukiwa na maadui zake hasa nchi za kiarabu, aneshatishiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia, anaona akiwachekea hamas yatakuja mengine zaidi ya hayo. USA hana uwezo wa kuzuia Israel ili isishambulie Gaza, kitakachoweza kuzuia na kumaliza vita ni hamas kuachia mateka na kukaa meza moja na viongozi wa Israel ili waangalie namna ya kuishi kwa amani na kwa kuheshimiana. Ujanja wa hamas na shinikizo toka nje haviwezi kumaliza tatizo, madai ya hamas na nchi za kiarabu kuitambua Palestinians na kutojitambua Israel haviwezi kuleta amani hata siku moja, na haiwezi kuirudisha Israel nyuma.Wamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in GazaView attachment 2988700View attachment 2988702
Unafiki huo...Wamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in GazaView attachment 2988700View attachment 2988702
wewe hata siku moja hujawahi kuongelea kuhusu huyo mwarabu mweusi ama mkatoliki mweusi wa kongo... Zaidi ya kuwa shabiki kindakindaki wa US na IsraelAmananisha acha unafiki unaumizweje na ya mwarabu wakati ya mweusi mwenzako hayakuumizi haupangiwi unambiwa acha unafiki kama unavyowasema wamarekani wanafiki kumbe we ndo nafiki
Wamarekan wanatofauti gan na wewe sasa. Unakubali Gaza kuna genocide Lakin kuna waarabu wako hapo Sudan wanawaangamiza waislam weusi hapo Sudan kule Darfur ila umekaa kimya.
RekaMantiki gani iliyopo kwenye swali lako na nilicho post mimi hapa ? Maana sikuelewi
Sasa ishu ya Sudan na kilicho postiwa vina uhusiano gani ? Ujue sikuelewiKama unaweza kuuona unafiki wa wamarekan na kusahau unafiki wako wa kukaa kimya wakati black sudanese wanaaangamizwa hapo darfur basi we ni mwamba.
Reka
Umesema unafiki wa marekani kuhusu kinachoendeea Gaza na uighur ukiwa na maana kelele za marekani kwa kile anachofanya china kwa waighur na sapoti marekani anayoitoa kwa Israel kwa Gaza. Ukaleta na picha za hiyo miji miwili kulinganisha maendeleo na vifusi. So swali langu likaja kwako. Kuwa mbona umeweza kuona huko mbali kiasi hicho na ukaja na hiyo tafsir ukasahau wewe mwenyewe hujawah kutuambia uchafu waarabu wanachowafanyia waafrika hapo darfurSasa ishu ya Sudan na kilicho postiwa vina uhusiano gani ? Ujue sikuelewi
Haya tufanye hivi umeelewa nini kupitia hizo picha zilizo postiwa ?
Twende taratibu.Umesema unafiki wa marekani kuhusu kinachoendeea Gaza na uighur ukiwa na maana kelele za marekani kwa kile anachofanya china kwa waighur na sapoti marekani anayoitoa kwa Israel kwa Gaza. Ukaleta na picha za hiyo miji miwili kulinganisha maendeleo na vifusi. So swali langu likaja kwako. Kuwa mbona umeweza kuona huko mbali kiasi hicho na ukaja na hiyo tafsir ukasahau wewe mwenyewe hujawah kutuambia uchafu waarabu wanachowafanyia waafrika hapo darfur
Ndio unafiki wenyewe wa miafrica. Kwamba huoni hayo maangamiz yanayotokea hapo Sudan ila unaweza kuona unafiki wa wamarekan kwa Gaza. Kisa ni waarabu.Twende taratibu.
Mimi nilicho post hapa kinanilazimisha vipi kuzungumzia mgogoro wa Sudan ? Na kwani nini unilazimishe nizungumzie mgogoro wa Sudan na sio migogoro mingine duniani
Wewe sio muafrika ? Au una ajenda yako binafsi ndani ya moyo wako ?!.Ndio unafiki wenyewe wa miafrica.
Umeambiwa ukweli miafrica mnaunafiki usiyaone ya congo na sudan uyaone ya israel na gaza africa unafiki unaimalizaWewe sio muafrika ? Au una ajenda yako binafsi ndani ya moyo wako ?!.
Wewe sio muafrika ?Umeambiwa ukweli miafrica mnaunafiki