Mbona hueleweki!?Cjui
Cjui hata umejibu. Hawa rapids force's umesahau ndio waarabu waliokuwa wanawaitwa janjaweed wakiwasaidia jeshi la Sudan kuwaangamiza weusi pale Darfur au unajifanya kujitoa ufahamu. Mi naongelea mauaji ya halaiki pale Darfur acha vita vinavyoendelea Sudan.
Unazungumzia machafuko ya 2003 yaliyoyagawanya Sudan kuwa mbili au machafuko ya sasa hivi!?
Jibu hapo kwanza,maana naona ushaanza kuhama hama.
Kama unazungumzia ya sasa hivi basi hayahusiani na ukabila bali yanahusiana na madaraka.
Kama unazungumzia ya 2003 mpaka yakaleta mgawanyo wa South Sudan and North Sudan basi yalishazungumzwa na kupita.
Embu jifunze kuwa specific kijana.