Mi mwafrica ninaekushangaa unapoumizwa na maumivu ya washenz waliotutawala na unasahau wenzetu wanaoendelea kuumia. Cjui tumelogwa na nani.Wewe sio muafrika ? Au una ajenda yako binafsi ndani ya moyo wako ?!.
Wapi nimesema nimeumizwa ?Mi mwafrica ninaekushangaa unapoumizwa na maumivu ya washenz waliotutawala na unasahau wenzetu wanaoendelea kuumia. Cjui tumelogwa na nani.
Acha mahaba ya diniWapi nimesema nimeumizwa ?
Halafu hao kwenye picha walikutawala lini wewe ?
Sasa mambo ya dini yana ingiaje hapa kwenye post yangu ?Acha mahaba ya dini
Nyie mnafanya dini yetu ya kiislam ionekane ni ya kigaidi
Wabantu wa sudan wanachinjwa km kuku na waarabu mpo kimya
Leo hii mnayaonea huruma magaidi ya kiarabu kutoka hamas
Wapi nimesema nimeumizwa ?
Halafu hao kwenye picha walikutawala lini wewe ?
Kwa hiyo wa Uyghur ni waarabu toka lini na walikutawala wewe lini hiyo ? Na wakiuana wewe binafsi unapata faida gani ?Kwamba mwarabu hajawah kututawala sio. Au Mzungu. Pumbafu kabisa. Waache wauawane ni zamu yao kuumia we leta mada za namna ya kupambana tutoke sio marekan sijui mchina au.warabu then nini inakusaidia sasa.
Akili za kiafrica hiz. So unvyoumia kutuelezea waarabu wa gaza wanavyotwseka na unafiki wa marekani kwenye mezania umeshau wewe pia ni mnfiki kwa kwenda umbali wote huo ukasahau hata hao wamasai wanaohamishwa kwa nguvu katika nchi hapo loliondo. Ckupangii cha kuandika ila nataka kukuonyesh jinsi tulivyo mbulula.Kwa hiyo wa Uyghur ni waarabu toka lini na walikutawala wewe lini hiyo ? Na wakiuana wewe binafsi unapata faida gani ?
Hii ni international forum kwani nini unanipangia nyuzi za kuleta humu na watu wa kuwazungumzia humu ?
Wewe hizo nyuzi za kupambana tutoke umezuiwa kuzileta humu ?
Wapi nimesema naumizwa ? Na kwa nini jukwaa la International unipangie kipi cha kuzungumzia ?Akili za kiafrica hiz. So unvyoumia kutuelezea waarabu wa gaza wanavyotwseka na unafiki wa marekani kwenye mezania umeshau wewe pia ni mnfiki kwa kwenda umbali wote huo ukasahau hata hao wamasai wanaohamishwa kwa nguvu katika nchi hapo loliondo. Ckupangii cha kuandika ila nataka kukuonyesh jinsi tulivyo mbulula.
Mihemko ya nini sasa. Mi nakueleza jins Africans wanavyopoteza muda kuzungumzia ishu za watu. Mara Gaza cjui marekani lakini hata suala dogo kama la watu weusi wanaouawawa na waarabu hapo Sudan hawalion. Muda mwingi kuutumia kuzungumzia weupe wanaouawawa. Bro nimekutolea mfano hata hao wamasai waliotolewa hapo kwao loliondo uliwah kuguswa ukaanzisha uzi au kwasababu ni weusi. Sometimes somehow kuna shida iko mahali kwa NgoZi nyeusi.Wapi nimesema naumizwa ? Na kwa nini jukwaa la International unipangie kipi cha kuzungumzia ?
Ulianza waarabu wa Sudan sasa umeamia wamaasai wa Tanzania next stop ni nini ?
Twende taratibu tupo kupeana elimu hapa usipandwe na mihemko.
Hili jukwaa la International unataka habari za masaai wa Tanzania ziletwe humu ?Mihemko ya nini sasa. Mi nakueleza jins Africans wanavyopoteza muda kuzungumzia ishu za watu. Mara Gaza cjui marekani lakini hata suala dogo kama la watu weusi wanaouawawa na waarabu hapo Sudan hawalion. Muda mwingi kuutumia kuzungumzia weupe wanaouawawa. Bro nimekutolea mfano hata hao wamasai waliotolewa hapo kwao loliondo uliwah kuguswa ukaanzisha uzi au kwasababu ni weusi. Sometimes somehow kuna shida iko mahali kwa NgoZi nyeusi.
Wao wenyewe USA wana two major genocides in history.Wamarekani wana mambo kweli.
There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in GazaView attachment 2988700View attachment 2988702
Kwani hili si jukwaa la kimataifa!?Hili jukwaa la International unataka habari za masaai wa Tanzania ziletwe humu ?
Kwa nini uzi wangu unakufanya utoe hukumu kwa waafrika wewe sio muafrika ?
Wewe kufungulia hayo masuala umezuiwa ?
Sasa mambo ya watu weusi yanahusikaje humu wewe ni mweupe ?
Embu acha uongo.Wewe kwanini hujawah kuanzisha Uzi hapa kuwalalamikia waarabu wa Sudan wanavyowaangamiza weusi wa darfur
Kwahiyo kulipua watu kimakusudi katika shule za UN nako ni kawaida kwasababu ni vita!?majengo na, genocide wap na wap ? Tofautisha Vita na Genocide , Vita mnauana ila Genocide unaua watu wasio na silaha , Hamas ni wawakilishi wa Gaza na Idf ni wawakilishi wa Israel , kwenye vita vifo kwa raia ni kawaida , msichanganye mafaili
Vita ilianza toka August kwa IDF na wayahudi kuchoma mashamba ya bedui Jenin.Vita hiyo waliingiza ushabiki wa dini na siasa, pia tatizo lilianzia October 7 baada ya watu wengi kupongeza mauaji ya jamaa ya kushambulia wananchi, wale wananchi walikuwa na makosa gani? Kama hamas wangekamata wanajeshi wa IDF au wanasiasa wa Israel, lakini wadada na watoto na mabibi! Israel hana cha kupoteza anajua anavyochukiwa na maadui zake hasa nchi za kiarabu, aneshatishiwa kufutwa kwenye ramani ya dunia, anaona akiwachekea hamas yatakuja mengine zaidi ya hayo. USA hana uwezo wa kuzuia Israel ili isishambulie Gaza, kitakachoweza kuzuia na kumaliza vita ni hamas kuachia mateka na kukaa meza moja na viongozi wa Israel ili waangalie namna ya kuishi kwa amani na kwa kuheshimiana. Ujanja wa hamas na shinikizo toka nje haviwezi kumaliza tatizo, madai ya hamas na nchi za kiarabu kuitambua Palestinians na kutojitambua Israel haviwezi kuleta amani hata siku moja, na haiwezi kuirudisha Israel nyuma.
Sudan wana ugomvi wa kisiasa.Ndio unafiki wenyewe wa miafrica. Kwamba huoni hayo maangamiz yanayotokea hapo Sudan ila unaweza kuona unafiki wa wamarekan kwa Gaza. Kisa ni waarabu.
Nawe ona ulivyo zwazwa.Acha mahaba ya dini
Nyie mnafanya dini yetu ya kiislam ionekane ni ya kigaidi
Wabantu wa sudan wanachinjwa km kuku na waarabu mpo kimya
Leo hii mnayaonea huruma magaidi ya kiarabu kutoka hamas
Utawadanganya wajinga wenzio wasiojua Sudan.Sudan wana ugomvi wa kisiasa.
Pia Sudan ni wanubi ambao wame adopt lugha ya kiarabu ila sio waarabu.
Hizi akili mnatoaga wapi ninyi aisee!?
Cjui hata umejibu. Hawa rapids force's umesahau ndio waarabu waliokuwa wanawaitwa janjaweed wakiwasaidia jeshi la Sudan kuwaangamiza weusi pale Darfur au unajifanya kujitoa ufahamu. Mi naongelea mauaji ya halaiki pale Darfur acha vita vinavyoendelea Sudan.