GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Sahihi kabisaTRUMP2024
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisaTRUMP2024
Trump na Magufuli walifaa sanaAlichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa lake la Marekani.
Mwaka huu Wamarekani watapiga kura ya kumchagua Rais.
Bila shaka, wengi wanajua kuwa wanamuhitaji sana Trump kuliko wakati mwingine wowote.
Uthubutu wake utawezesha vita vya Urusi na Ukraine kufikia ukomo. Anaweza kusaidia kuleta amani Mashariki ya Kati, japo itakuwa ni kwa muda tu.
Atamdhibiti Rais wa Korea Kaskazini asiwe tishio kwa Marekani na maslahi ya Marekani.
Japo si nabii, lakini naamini Trump atashinda Kiti cha Urais wa Marekani mwaka huu
Hata Wamarekani waliomo humu JF, japo ni wachache, lakini wanalijua hilo.
Hawatafanya kosa. Wameamua kwenda na bilionea Donald Trump.
Ujamaa hauwezi kuwepo marekani hata wafanye nini labda kama unataka kufanya mauaji ya halaiki.Wamarekani wanaogopa ujamaa kama ukoma. Wakisikia Sanders wanajua anakuja kuleta mambo ya kijamaa.
Sanders hashindi hata kwa kutumia uchawi
Trump anarudi White House labda wamfunge kwenye makesi yake anayopambana nayo
Huyu huyu SytholeTrump will win
Akikusikia huendi Marekani.Huyu huyu Sythole
Ujamaa Marekani unachukuliwa kama uovu fulani hivi. Hata Rais awe dikteta kiasi gani, hawezi kufanikiwa kuupachika udikteta kwenye hilo Taifa.Ujamaa hauwezi kuwepo marekani hata wafanye nini labda kama unataka kufanya mauaji ya halaiki.
Ujamaa sio mfumo unapachika pachika tu ndio yale yale ya Nyerere.
Ni rahisi kuweka mfumo wa kibepari kuliko kuweka ujamaa marekani hili la ujamaa haliwezi tokea itabaki ndoto tu.
Ujamaa bila misingi ya ujamaa ni kuchota maji kwenye Tenga.
🥺🥺😄Trump na Magufuli walifaa sana
Nilitaka niseme unawaonea wivu🤣 ila nimeamua kujizuai kusema hivyo.Basi marekani imefilisika Marais
Wanamuhitaji kwa lipi hasa ambalo hakufanya awamu ya kwanza? Hana jipya.Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa lake la Marekani.
Mwaka huu Wamarekani watapiga kura ya kumchagua Rais.
Bila shaka, wengi wanajua kuwa wanamuhitaji sana Trump kuliko wakati mwingine wowote.
Uthubutu wake utawezesha vita vya Urusi na Ukraine kufikia ukomo. Anaweza kusaidia kuleta amani Mashariki ya Kati, japo itakuwa ni kwa muda tu.
Atamdhibiti Rais wa Korea Kaskazini asiwe tishio kwa Marekani na maslahi ya Marekani.
Japo si nabii, lakini naamini Trump atashinda Kiti cha Urais wa Marekani mwaka huu
Hata Wamarekani waliomo humu JF, japo ni wachache, lakini wanalijua hilo.
Hawatafanya kosa. Wameamua kwenda na bilionea Donald Trump.
JFK jrSanders au mtu mwingine ataingia kama mgombea binafsi na kushinda, kwa kuwa si Biden wala Trump atakaekuwa raisi ajae, wote ni horrible, horrible, horrible!
Kafanya mengi Sana Trump kipindi chake. Sema democrats walikomaa na impeachment waka overshadow utandaji wake.Wanamuhitaji kwa lipi hasa ambalo hakufanya awamu ya kwanza? Hana jipya.
hao si watanzania wanaohitaji mtu mkali ili wasonge mbele. Walishavuka hiyo stage miaka mingi, wanachohitaji ni mwenye udhubutu, tofauti na sisi wao wana dira na sera za nchi , trump alikuwa hazifuati sanaSidhani kama yupo atakayempiku Trump.
Marekani kwa sasa inamuhitaji mtu "mkali"
You are very wrong!
The time will tell!!!
Wamarekani wenyewe wanasemaje? kuhusu hilo?Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.