Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.

Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.

Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa lake la Marekani.

Mwaka huu Wamarekani watapiga kura ya kumchagua Rais.

Bila shaka, wengi wanajua kuwa wanamuhitaji sana Trump kuliko wakati mwingine wowote.

Uthubutu wake utawezesha vita vya Urusi na Ukraine kufikia ukomo. Anaweza kusaidia kuleta amani Mashariki ya Kati, japo itakuwa ni kwa muda tu.

Atamdhibiti Rais wa Korea Kaskazini asiwe tishio kwa Marekani na maslahi ya Marekani.

Japo si nabii, lakini naamini Trump atashinda Kiti cha Urais wa Marekani mwaka huu

Hata Wamarekani waliomo humu JF, japo ni wachache, lakini wanalijua hilo.

Hawatafanya kosa. Wameamua kwenda na bilionea Donald Trump.
Trump hawezi kumaliza vita huyo ni ndumilakuwili wakati wake ndiye alichochea uhasama wa Palestine na Israel baada ya kukiuka mkataba wa Umoja wa Mataifa, Kwa kutambua Jerusalem kama makao makuu ya nchi ya Israel
 
Trump sio mpango wa NWO,ndio sababu hakutoboa miula miwili.wakaona ni heri hata waweke huyu mzee asiye hata na kumbu kumbu tu wamtoe trump.

Trump ndiye alikutana na kim,ukawa mwanzo mzuri wa mazungumzo kati ya uhasama uliopo baina ya nchi zao.

Trump ndiye alikuwa msemaji wa ukweli juu ya kinachoendelea africa na usanii wa viongozi wetu.

Trump aliishapunguza wanajeshi ktk base mbali ikiwa ni hitaji la msingi la wananchi,ili kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa serikali.

Kifupi nchi na wananchi wanamhitaji,ila system haimtaki.
 
Watu fulani walisema, "the end justifies the means"

Kati ya hao wawili, nani anao ujasiri wa kutoa ushuhuda kuwa katika kipindi cha uongozi wake alizuia umwagaji damu?
 
Trump sio mpango wa NWO,ndio sababu hakutoboa miula miwili.wakaona ni heri hata waweke huyu mzee asiye hata na kumbu kumbu tu wamtoe trump.

Trump ndiye alikutana na kim,ukawa mwanzo mzuri wa mazungumzo kati ya uhasama uliopo baina ya nchi zao.

Trump ndiye alikuwa msemaji wa ukweli juu ya kinachoendelea africa na usanii wa viongozi wetu.

Trump aliishapunguza wanajeshi ktk base mbali ikiwa ni hitaji la msingi la wananchi,ili kupunguza matumizi yasiyo na tija kwa serikali.

Kifupi nchi na wananchi wanamhitaji,ila system haimtaki.
Mungu awasaidie wananchi wa Marekani wampate Rais anayewafaa.
 
Back
Top Bottom