Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Alishafua, sijui unaongelea nini?Biden hafui dafu kwa Trump hata afanyeje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishafua, sijui unaongelea nini?Biden hafui dafu kwa Trump hata afanyeje!
Ana utu wa kuwavuta wanawake kwa kutia mkono katika uchi wao na kuwavuta, tena anaongea hadharani!Unamwonea mkuu!
Trump ni "mkorofi" lakini si mkatili. Alau ana utu!
Unakumbuka alivyodili na vitisho vya Korea Kaskazini?Trump all the way. Wakati wa Trump Dunia ilitulia. Halafu Kama sio corona Biden asingemtoa Trump madarakani
Kama walimshindwa kipindi hicho, hawatamuweza kwenye sanduku la kura.Kafanya mengi Sana Trump kipindi chake. Sema democrats walikomaa na impeachment waka overshadow utandaji wake.
Hakuwa mnafiki!Sera za Trump kwa wahamiaji wa mataifa mengine sio nzuri.
Kivipi mkuu?Atakuwa amevunja rekodi kwa marekani..kama ilivyo kwa Putin..urusi
WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILIAlichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo.
Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza Wamarekani.
Ingawa alionesha chuki kwa baadhi ya Mataifa, hasa ya Kiafrika, lakini alilifaa sana Taifa lake la Marekani.
Mwaka huu Wamarekani watapiga kura ya kumchagua Rais.
Bila shaka, wengi wanajua kuwa wanamuhitaji sana Trump kuliko wakati mwingine wowote.
Uthubutu wake utawezesha vita vya Urusi na Ukraine kufikia ukomo. Anaweza kusaidia kuleta amani Mashariki ya Kati, japo itakuwa ni kwa muda tu.
Atamdhibiti Rais wa Korea Kaskazini asiwe tishio kwa Marekani na maslahi ya Marekani.
Japo si nabii, lakini naamini Trump atashinda Kiti cha Urais wa Marekani mwaka huu
Hata Wamarekani waliomo humu JF, japo ni wachache, lakini wanalijua hilo.
Hawatafanya kosa. Wameamua kwenda na bilionea Donald Trump.
Kwa hao sina la kusema.Ila kazi IPO kwa ruto na gachagua kipindi cha pili
Lakini aliyasimamia maslahi ya Taifa lake Marekani.hao si watanzania wanaohitaji mtu mkali ili wasonge mbele. Walishavuka hiyo stage miaka mingi, wanachohitaji ni mwenye udhubutu, tofauti na sisi wao wana dira na sera za nchi , trump alikuwa hazifuati sana
Wanasema Trump mbele kwa mbele!Wamarekani wenyewe wanasemaje? kuhusu hilo?
Trump akili zake ni sawa na mshikaji wake kanye westTrump ni msela muoga asiyetimiza ahadi zake sidhani kama anaweza kuaminiwa upya ilihali Yale aliyoyaaahidi katika kampeni zake hakuwahi kutekeleza alipopata madaraka.
Sidhani kama hayo Yana ukweli.Ana utu wa kuwavuta wanawake kwa kutia mkono katika uchi wao na kuwavuta, tena anaongea hadharani!
Hawatalirudia kosa la 2020.WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILI
Hawatalirudia kosa la 2020.WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILI
Hawatalirudia kosa la 2020.WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILI
Hawatalirudia kosa la 2020.WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILI
Hawatalirudia kosa la 2020.WAMAREKANI HAWAJAAHI KUWA WAJINGA MARA MBILI