Wamarekani wanamuhitaji Donald Trump sasa kuliko walivyomuhitaji mwaka 2016

Trump na Magufuli walifaa sana
 
Wamarekani wanaogopa ujamaa kama ukoma. Wakisikia Sanders wanajua anakuja kuleta mambo ya kijamaa.

Sanders hashindi hata kwa kutumia uchawi

Trump anarudi White House labda wamfunge kwenye makesi yake anayopambana nayo
Ujamaa hauwezi kuwepo marekani hata wafanye nini labda kama unataka kufanya mauaji ya halaiki.

Ujamaa sio mfumo unapachika pachika tu ndio yale yale ya Nyerere.

Ni rahisi kuweka mfumo wa kibepari kuliko kuweka ujamaa marekani hili la ujamaa haliwezi tokea itabaki ndoto tu.

Ujamaa bila misingi ya ujamaa ni kuchota maji kwenye Tenga.
 
Ujamaa Marekani unachukuliwa kama uovu fulani hivi. Hata Rais awe dikteta kiasi gani, hawezi kufanikiwa kuupachika udikteta kwenye hilo Taifa.

Marekani si Burundi! Kule hata Rais anaweza kuambiwa *hapana" na mtumishi wa Serikali.

Kule Jeshi "hawamlindi" Rais bali Katiba.
 
Wanamuhitaji kwa lipi hasa ambalo hakufanya awamu ya kwanza? Hana jipya.
 
Trump all the way. Wakati wa Trump Dunia ilitulia. Halafu Kama sio corona Biden asingemtoa Trump madarakani
 
Trump kushinda uchaguzi na kuwa Rais? Hapan’ shaka kabisa, inawezekana. Ile ni nchi ya kidemokrasia. Ilmuradi asisahau kuwa Marekani si Bongo na yeye hatakuwa Mwenyekiti wa CCM kule.
 
Sidhani kama yupo atakayempiku Trump.

Marekani kwa sasa inamuhitaji mtu "mkali"
hao si watanzania wanaohitaji mtu mkali ili wasonge mbele. Walishavuka hiyo stage miaka mingi, wanachohitaji ni mwenye udhubutu, tofauti na sisi wao wana dira na sera za nchi , trump alikuwa hazifuati sana
 
You are very wrong!

The time will tell!!!
Wamarekani wenyewe wanasemaje? kuhusu hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…