KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Mkuu tuna changamoto nyingi sana lakini changamoto kubwa ni mtindo wetu wa kufikiri uivyo,sijui tuna matatizo gani kwakweli....
Wakati mwingine unaweza hata kutamani upate uwezo wa ki-Mungu ufute upuuzi waliolishwa hawa vijana wa kileo ambao wengi ni kama bado hawajajielewa kabisa.....
Tuna safari ndefu sana mkuu...
Mkuu mimi huwa natamani....kungekuwa na na windows za kuinstall kwenye vichwa vyao...