Wamarekani weupe wameamua kutumia utaalamu wa kisayansi kumaliza weusi

Wamarekani weupe wameamua kutumia utaalamu wa kisayansi kumaliza weusi

HIV haikutengenezwa maabara kwasababu hakuna HIV,kuna hadithi inayohusu kirusi kisichokuwepo kilichopachikwa jina la HIV....

Kirusi specific aina ya HIV hakijawahi kugunduliwa duniani achilia mbali kuonekana kwenye mwili wa binadamu....

Kwa kukusadia ni kwamba walitengeneza hadithi inayomhusu kirusi anayefanya A,B,C kwenye mwili wa binadamu,hizo A,B,C zilikuwepo tu kwenye maisha ya watu wenye maradhi kama TB n.k halafu hizo A,B,C wakampachika huyo kirusi asiyekuwepo....

Baada ya muda wakaja na hadithi nyingine kuwa kirusi huyo anabadilika badilika na wakatengeneza dawa zinazomsababishia mwanadamu A,B,C,D,E,F,G na kumdanganya huyo mwanadamu kuwa hizo dawa zinapunguza matatizo A,B,C yaliyodaiwa hapo mwanzo kuwa yanaletwa na huyo kirusi hivyo watu wakaanza kufakamia hizo dawa na walipokuja kupata madhara A,B,C,D,E,F,G wakaambiwa ni matokeo ya HIV kumbe ni matokeo ya madhara ya hayo madawa...

Muulize MD yoyote dalili za HIV ni nini kama hajakuambia daliliza TB n.k dalili ambazo sio mpya kabisa lakini zikapachikwa jina la dalili za HIV....
sorry kwa ku quote uzi huu,Mkuu Eiyer kama Mtu amekwenda kupima na ikagundulika ana UKIMWI afanye nini?? kuna mtu alikwenda hospital kupima Ukimwi na TB lakini aligundulika na UKIMWI tu alikuwa hana TB na bado hakutumia ARV lakini hali yake ilizidi kudhorota mpaka kupelekea mauti Je kama kilichomua sio Ukimwi ni nini hasa na kumbuka aliambiwa hana TB
 
Karibu Mkuu Deception

e5294e9fffbafa212eff2e40211f359e.jpg
 
waafrica wapumbavu, wazungu utasikia hata nyanya au kitunguu wanataka ambacho hakijapandwa kwa mbolea kwa sababu huu mchezo wanaujua. Sisi badala ya kusomesha vijana tuwe na labs za utafiti za kufa MTU tunaenda kununua ndege. huu mchezo hauhitaji hasira, tutakufa hadi tuishe.

Africa inabidi ubadilike, itegemee technology yake , itegemee watu wake, itegemee maarifa take , iwekeze kwenye raslimali watu na kutengeneza miundombinu itakayo saidia kuleta mazingira rahisi kwa vijana wa kiafrica kuleta mapinduzi ya viwanda.
Nakuunga mkono!
Miaka mingi nimekuwa nikitumia mmea wa atamisia kama tiba ya magonjwa mbalimbali .... ni majuzi tu ndo imekuja kutangazwa ALU kwamba ndo kiboko ya maralia.
Afrika ni bara lililobarikiwa kwa mambo mengi lakini vichwa vyetu hatujishugulishi kutumia vitu tulivyojaliwa. Mtegemea cha nduguye ...
 
Kuna imani zingine watu weusi wanazo kuhusu watu weupe, hazina kichwa wala mguu, yani upuuzi tu. Hawa mngejua hawana zika au ukimwi ila magonjwa waliyonayo ktk nchi zao ni ya ajabu kuliko zika au malaria,
For once I believe the storyline about racism is switching, blacks are racist and so insecure kuliko whites now.

Jane Elliott says that all white people are racist

sorry kwa ku quote uzi huu,Mkuu Eiyer kama Mtu amekwenda kupima na ikagundulika ana UKIMWI afanye nini?? kuna mtu alikwenda hospital kupima Ukimwi na TB lakini aligundulika na UKIMWI tu alikuwa hana TB na bado hakutumia ARV lakini hali yake ilizidi kudhorota mpaka kupelekea mauti Je kama kilichomua sio Ukimwi ni nini hasa na kumbuka aliambiwa hana TB
Unapokwenda hospitali haupimwi UKIMWI bali wanapima antibody ambazo mwili unakuwa unatoa ili kupambana na maradhi.Cha ajabu badala wakuone huumwi wanasema unaumwa,hili ni ajabu la kwanza...

Huyo aliyepimwa walipima nini? kwanini alikwenda hospital? Alikuwa anaumwa nini?

Kimsingi kilichomuua siyo kingine bali kuna maradhi specific alikuwa anaumwa,ARVs hazitibu ugonjwa wowote ndani ya mwili wa binadamu,yes hazitibu chochote na hizo ndiyo zilisababisha kifo cha huyo ndugu kwa kasi kubwa....

Sema alikuwa anaumwa nini achana na mambo ua UKIMWI kwasababu hilo ni tatizo linaloondolewa na chakula bora tu....

Sema historia ya maisha yake...

[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDena[/HASHTAG]
 
Tulisha ingia kwenye mitego yao. Kutoka ni kugumu sana.
 
Hizo conspiracy theories tu
Hiyo siamini mambo hayo cha msingi mimi ambacho huwa nafanya ni kutumia vitu asili basi, hayo mengine watajua wao maana wao kwa kula misoso ya kwenye makopo ni balaa maana kama ni ukimwi uzuri ulisambaa dunia nzima.
 
Afrika kuna utajiri mkubwa na wamiliki hawauthamini what do you expect the whites will do?Sit back and watch?Hell no!Sisi kama kizazi kwa ujumla wetu tume prove failure.
 
Mikakati ya ile secret society ni kupunguza idadi ya watu mpaka ibaki 500,000,000

Hebu kwanza tuupe ubongo nafasi ya kufikiria je ni kweli watu wanapungua au ndo wanaongezeka hebu tulinganishe idadi yetu miaka ya 1980 na sasa je imepungua au imeongezeka wanaipunguzaje sasa wakati mi naona ongezeko la watu ndio linakuwa kubwa?
 
Unapopanga jambo likashindikana ujue mipango yako ilikuwa mibaya.
Mungu ana mpango watu waongezeke waijaze nchi na kuwa kama mchanga wa bahari
Shetani ana mpango wa kupunguza watu wabaki namba anayoijua ...
Kwa hili la watu kuongezeka ni dhahili kwamba Mungu ni mkubwa.
 
Hii ndio sababu nilitaka kusoma biotechnology.. But nilishindwa..

T
Ni kweli hili Mimi niliwahi pia kulifatilia linaukweli ndani yake.. Na huu mchezo haujaanza Leo wala Jana.. Ni kuanzia miaka ya 1950 ambapo ndio waliweza kutengeneza enzyme kupitia bacteria.. Ndio technology nzima ya biotechnology ilipoanza kukua kwa kasi.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini HIV ilianza miaka ya 80 and not before that..

For sure this is the new inslavement technique.. Jiulize MTU aliegundua dawa ya dharura kuzuia virusi vya UKIMWI alikua umbali gani kugundua dawa ya ukimwi kabisa.

So inaonesha dhahiri kuwa kunakundi halitaki dawa ipatikane cause linafaida.. Hivyohivyo kwa kansa..

GMOs (genetic modified organisms) ni aina ya vyakula ambavyo kwa sasa wengi wanapenda kuvitumia.. Kama vile kuku wa kisasa.. Ng'ombe wa kisasa.. Mayai ya kisasa.. Hizi Mbegu za muda mfupi.. Kama mahindi.. Matikiti nk..

Uwezekano wa wao kutufanyia hicho kilichoelezewa hapo juu.. Yani kutufanya tuumwe ili tuwe Wateja wa kudumu kununua dawa zao ni rahisi sana kutendeka kwa hali hii..

Yani inatakiwa tufike wakati dawa tusitegemee kutoka huko.. Hasa chanjo.. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu.. Cause hivihivi hatuwezi.. Sema ikumbukwe sio wazungu wote wanatabia hiyo.. But ndo madhara yenyewe ya Capitalism.. Monopolism
Pongezi ...mkuu. ..
 
hawa watu weupe hawa sio watu wazuri kabisa, tatizo waafrika tunawaona wao kama watu flani wenye roho nzurii kumbe hamna kitu
 
Wataweza kuua watu weusi ila hawataweza kuangamiza kizazi cha watu weusi. Walidhani ukimwi na Ebola vingetumaliza lakn wapi.
Ni kweli.. Walitengeneza virus vya polio wakaona polio inawadhuru na wao.. Wakatengeneza vaccine very fast..

Lakini ukiangalia takwimu za ukimwi Afrika ndio wahanga wakubwa.
 
Inategemea sana utashi wa waliopo juu maana wao wakishaamini kuwa wazungu na wachina ni rafiki basi hawanusi harufu, wala hawaambiliki wakasikia, wanashindwa kujiuliza maswali mepesi kabisa yatakayowafungua ufahamu kuwa urafiki huo ni wa mashaka na hauna faida kwetu zaidi ya wao kutupunguza kwa idadi kijanja kabisa. Tujiulize, mara ngapi tumeletewa madawa, vyakula kama mchele, visiyokidhi viwango na je tunachukua hatua stahiki?
Ni kweli mkuu.. Wenzetu wanajua sana kutuchekea usoni.. Kumbe moyoni wanamipango negative tusio ijua.
 
Watu weupe wasenge sana ila kwa waafrika hawatoweza maana hata kuzaana hatujambo sana tu labda walete gonjwa ambalo litatumaliza mara moja hapo sawa but si vinginevyo.
 
Hii ndio sababu nilitaka kusoma biotechnology.. But nilishindwa..

T
Ni kweli hili Mimi niliwahi pia kulifatilia linaukweli ndani yake.. Na huu mchezo haujaanza Leo wala Jana.. Ni kuanzia miaka ya 1950 ambapo ndio waliweza kutengeneza enzyme kupitia bacteria.. Ndio technology nzima ya biotechnology ilipoanza kukua kwa kasi.

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini HIV ilianza miaka ya 80 and not before that..

For sure this is the new inslavement technique.. Jiulize MTU aliegundua dawa ya dharura kuzuia virusi vya UKIMWI alikua umbali gani kugundua dawa ya ukimwi kabisa.

So inaonesha dhahiri kuwa kunakundi halitaki dawa ipatikane cause linafaida.. Hivyohivyo kwa kansa..

GMOs (genetic modified organisms) ni aina ya vyakula ambavyo kwa sasa wengi wanapenda kuvitumia.. Kama vile kuku wa kisasa.. Ng'ombe wa kisasa.. Mayai ya kisasa.. Hizi Mbegu za muda mfupi.. Kama mahindi.. Matikiti nk..

Uwezekano wa wao kutufanyia hicho kilichoelezewa hapo juu.. Yani kutufanya tuumwe ili tuwe Wateja wa kudumu kununua dawa zao ni rahisi sana kutendeka kwa hali hii..

Yani inatakiwa tufike wakati dawa tusitegemee kutoka huko.. Hasa chanjo.. Hapa ndipo tunapoona umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu.. Cause hivihivi hatuwezi.. Sema ikumbukwe sio wazungu wote wanatabia hiyo.. But ndo madhara yenyewe ya Capitalism.. Monopolism
Naweza kukuamini kwa asilimia zote kabisa wazungu sio watu wa mchezo mchezo
 
Watu weusi hawajiamini kabisa, yaani akipatwa na jambo flani anamrushia mzungu lawama.

Si ajabu kuna watu wanalala njaa halafu wanawasingizia wazungu.

Haileti mantiki kusema eti wazungu wanaweka sumu kwenye aidha dawa ama vyakula vya watu weusi then wazungu hao hao wakienda kwenye nchi za weusi wanatumia dawa na vyakula bila precautions.

Ni mara ngapi mmeona watalii, watafiti, ama wanafunzi wa kizungu wakihudumiwa kwenye migahawa na mahoteli yanayomilikiwa na watu weusi?

Halafu kwenye issue ya GMO nayo ni kama hadithi za Abunuasi tu.
GMO ni pale ambapo higher organism wenye production ama growth rate ndogo wanatumia genome za lower organism kuongeza kasi ya uzalishaji ama ukuwaji.
Sasa kama mtu atakula chakula kilichozalishwa kwa njia ya Genetic Modification, hawezi kudhurika na genes zilizotumika kwenye GMO kwani wakati wa digestion ata-secrete enzyme[Nuclease] kwajili ya kuharibu zile genes za GMO.

Ingawa ni jambo jema kuhakikisha usalama wa vyakula, lakini kwa wakati huu watu weusi ndo katili dhidi ya ubinadamu kuliko wazungu.
Wewe mzungu wewe si bure. Sasa unapinga alichosema mzungu mwenzako? Nitashangaa sana kama wewe ni musfrika
 
HIV haikutengenezwa maabara kwasababu hakuna HIV,kuna hadithi inayohusu kirusi kisichokuwepo kilichopachikwa jina la HIV....

Kirusi specific aina ya HIV hakijawahi kugunduliwa duniani achilia mbali kuonekana kwenye mwili wa binadamu....

Kwa kukusadia ni kwamba walitengeneza hadithi inayomhusu kirusi anayefanya A,B,C kwenye mwili wa binadamu,hizo A,B,C zilikuwepo tu kwenye maisha ya watu wenye maradhi kama TB n.k halafu hizo A,B,C wakampachika huyo kirusi asiyekuwepo....

Baada ya muda wakaja na hadithi nyingine kuwa kirusi huyo anabadilika badilika na wakatengeneza dawa zinazomsababishia mwanadamu A,B,C,D,E,F,G na kumdanganya huyo mwanadamu kuwa hizo dawa zinapunguza matatizo A,B,C yaliyodaiwa hapo mwanzo kuwa yanaletwa na huyo kirusi hivyo watu wakaanza kufakamia hizo dawa na walipokuja kupata madhara A,B,C,D,E,F,G wakaambiwa ni matokeo ya HIV kumbe ni matokeo ya madhara ya hayo madawa...

Muulize MD yoyote dalili za HIV ni nini kama hajakuambia daliliza TB n.k dalili ambazo sio mpya kabisa lakini zikapachikwa jina la dalili za HIV....

[HASHTAG]#PumzikaKwaAmaniDena[/HASHTAG]
Hata huko unakokuzungumza wewe ndiyo kutengeneza kwenyewe huko.
 
Back
Top Bottom