FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Yaani FaizaFoxy huu ni zaidi ya unyama..... halafu wanajidai kutuletea misaada..... too sad
Hakuna msaada wa bure bila maslahi yao.
Huwa wanasema siku zote kuwa wana "interests" zao.
Ukitaka kuwajuwa hawa watu kuwa ni wanyama soma kitabu cha Richard Seymour Hall, uone Vasco Da Gama alifanya nini huku pwani ya kwetu.
Soma kuhusu Argentina, kwanini hakuna watu weusi huko.
Lakini ni sisi wenyewe tunawatukuza, towa "z" katika mzungu inabaki nini?