FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ubaguzi ndiyo umeleta hayo. Biblia inasema pombe apewe aliyekaribu na kupotea usimpe pombe mtawala. Tazama huko watawala ni kina nani na walevi ni kina naniUkiangalia miji yote yenye population kubwa ya African Americas ina uhalifu Mkubwa sana.
Mfano mji kama Washington DC ambao una federal security headquarters zote kwenye metropolitan yake, lakini bado uhalifu uko juu sababu ni kuwa na African America both in city and metropolitan.
Chicago hali ni mbaya sana na ndiyo mji mkubwa unaongoza kwa total number of homicide sababu ni kuwa na African American.
Ni new York City tu ambayo ina population kubwa ya African American na crime inashuka na iko chini sana.
Miji ambayo haina population kubwa ya Africa America crime iko chini sana mfano Seattle, San Fransisco, na hata kwenye suburbs kwa sababu wakazi wengi ni Wazungu na wachache African Americans.
Na siyo Marekani tu, hata London victim na wahusika wa knife crime, majority ni Black British. Hata Brazilian Blacks Brazilian /Mullatos ndiyo vinara wa uhalifu wa kuuza madawa ya kulevya na matukio mazima ya uhalifu.
South Africa hali ndiyo mbaya sana kwa black South Africans tofauti na Wazungu wanaoishi vizuri tu.
Waafrika tunafeli wapi?
Ni ubaguzi wa wazi kabisa huo. Na ndicho wanachofanyiwa Waafrika wa huko na huku kwetu, hakuna tofauti.
Solution ya hayo matatizo ni Uislam tu.
Ushahidi...
Mithali 31:
Ee Lemueli, kunywa mvinyo hakuwafai wafalme, hakuwafai wafalme; Wala haifai wakuu waseme, Ki wapi kileo?
5 Wasije wakanywa na kuisahau sheria, Na kuipotosha hukumu ya mtu aliye taabuni.
6 Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
7 Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.